Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Ni miwani aina ya Alexander Mcqueen AM0372S-001 ambayo ni custom made with Diamond plated. Bei yake ni Euro 243 ambazo ni sawa na pesa ya madafu Shilingi 688,920/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaahaaaaSasa HAPO shida ni nini? Pesa Si zake au za Babako?
Za kuchomelea magetivp wewe mkuu Andre-Pierre unatumia miwani???
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Ukitaka kujua thamani ya vitu vya tajiri muulize maskini.
Yani kaenda mpaka google kujua thamani ya miwani aliyovaa Mwanaume mwenzake!Ukitaka kujua thamani ya vitu vya tajiri muulize maskini.
hakika inatia chachu ya kuendelea kutafutaUmasikini ni kitu kibaya sana..... Tutafute pesa kwa bidii.
Hapana, mimi natumia mawanivp wewe mkuu Andre-Pierre unatumia miwani???
Mawani ya Mtumba?Hapana, mimi natumia mawani
Kuna sehemu tumesema ni ya gharama? Punguza shoboMbona ni bei ya kawaida tu?
Kwa mtu kama Mo hiyo miwani ni cheap sana tu kwake.