Ebu endelea kujadili muwani wako wenye unausifia, na usijaribu kutumia muwa kama mkongoja kwenye safari ya huku Lyambamgongo...tehteehh [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeniboa sana we mzee na utoto wako wa kishamba. Ondoka tu.
Yeah mkuu. Kila muda itabidi uwe umetundika maglass tu.Mimi now macho yameanza kunisumbua,sioni mbali na sioni vizuri kabisa...na mawani naskia ukianza kutumia ndo basi tena
[emoji15][emoji4][emoji4]sio vizuri kumwambia hvyo mwenziobaridi haitibu Ila mwanga mkali wa jua wilaya kama kahama huyatibua macho zaid kwa hiyo zingatia ushauri wangu kabla hujawa kipofu au kama vipi anza kozi ya kusoma maandishi ya brela ili ukipofuka usipate shida
Hospital hawakusema kwamba labda utavaa miwani kwa mda gani??Yeah mkuu. Kila muda itabidi uwe umetundika maglass tu.
Hawasemi. Ila wanashauri kurudi kupima kila baada ya miezi sita.Hospital hawakusema kwamba labda utavaa miwani kwa mda gani??
Madaktari wenyewe wanasema miwani ni tibaHivi hakunaga dawa out of miwani?
Ulivaa miwani kwa mda gani??Me nilishayapiga chini zamani na naona vizuri tuu yani, but kwenye jua ndo kiduchu napata taabu
Sasa angalia kama mtoa mada tatizo ndo limezidiMadaktari wenyewe wanasema miwani ni tiba
2009-2015Ulivaa miwani kwa mda gani??
Duuh 6 years,kweli hii ni shida2009-2015
Nimesoma maelezo yake hii,naona ni nzuriJaribu kutumia hii kitu kutoka jumia inaweza kukusaidia.
Eye care Softgel
Hapo palipokolezwa,baridi haitibu Ila mwanga mkali wa jua wilaya kama kahama huyatibua macho zaid kwa hiyo zingatia ushauri wangu kabla hujawa kipofu au kama vipi anza kozi ya kusoma maandishi ya brela ili ukipofuka usipate shida
Nimesoma maelezo yake hii,naona ni nzuri