Miwani yangu ya macho na tabu zake

Miwani yangu ya macho na tabu zake

baridi haitibu Ila mwanga mkali wa jua wilaya kama kahama huyatibua macho zaid kwa hiyo zingatia ushauri wangu kabla hujawa kipofu au kama vipi anza kozi ya kusoma maandishi ya brela ili ukipofuka usipate shida
[emoji15][emoji4][emoji4]sio vizuri kumwambia hvyo mwenzio
 
Me nilishayapiga chini zamani na naona vizuri tuu yani, but kwenye jua ndo kiduchu napata taabu
 
Biblia inasema kula majani upate kuona vizuri, Kama unaenda tofauti na neno la Mungu utavaa Miwani siku zote za maisha yako
 
baridi haitibu Ila mwanga mkali wa jua wilaya kama kahama huyatibua macho zaid kwa hiyo zingatia ushauri wangu kabla hujawa kipofu au kama vipi anza kozi ya kusoma maandishi ya brela ili ukipofuka usipate shida
Hapo palipokolezwa,
Siku nyingine sema 'Braile' (Maandishi/Herufi-nundu).
Brela, Ni mamlaka ya Usaili wa majina ya Wachuuzi.
 
Nikiwahi kupatwa na tatizo hilo miaka miwili nyuma nikaenda kupima wakasema itabidi nivae miwani. Kwenda kupima, lens zote zikagoma, hakuna iliyonisaidia. Wakanipa dawa, hadi sasa nadunda tu bila miwani na uoni wangu unaimarika kidogo kidogo.
 
Back
Top Bottom