Miwani yangu ya macho na tabu zake

kupona inawezakana coz mi kuna watu kama wawili nlisoma nao walikuwa wanavaa miwani ila saivi wameacha it means wapepona
 
Hadi hii leo navaa miwani ni Mwaka wa 12 huu, hivi sasa namba yangu ya lenzi ni -5.00

Nilichoweza kukigundua katika kipindi chote hicho ni kwamba, lensi haishiwi nguvu bali ni ubovu wa macho ndiyo unazidi. Hivyo utahitaji lensi kubwa zaidi kuliko mwanzo, ili uendane nayo.

Miwani haina tofauti na uraibu, nikimwona mtu anataka kuvaa namshauri aache kwanza labda tatizo liwe kubwa. Hii ukiivaa haswa hizi za kuonea mbali, huachi ndiyo milele hiyo.
Ndiyo maana hadi leo hii ninatumia miwani muda wote labda nikilala na kuingia chooni ndiyo naivua.
 
Nikiwahi kupatwa na tatizo hilo miaka miwili nyuma nikaenda kupima wakasema itabidi nivae miwani. Kwenda kupima, lens zote zikagoma, hakuna iliyonisaidia. Wakanipa dawa, hadi sasa nadunda tu bila miwani na uoni wangu unaimarika kidogo kidogo.
Dawa gani mkuu??
 
Duhhhhhhh!!! Mkuuuu!!! Lenzi 5.00??? Hatari sana!!! Hii yangu 2.5 tu naiona kali sana lakini inanifaa.

Hopefully, baada ya miaka miwili nasikitika naweza kufikia 4.00 lens capacity!! Macho yangu hayapati ahueni kabisa.
 
hebu nenda agarwal hosp ipo morrocco kwenye jengo la faycat tower ghorofa la 4 kuna mabingwa wa macho watakusaidia
 
huwe kua kipofu kinachokusumbua wewe ni kitu kinaitwa myopia yan rays of light znashidwa kufika kwenye retina ili zipelekwe na kwakua kinachoona ni ubongo then taarifa haifiki vzr kweny ubongo{visual cortex} ndo maana unapata hiyo shida ndo maana ukapewa concave ili kukusanya miale ya jua kuileta pamoja ili ifike kwenye ubongo uswaz vaa miwan mda mrefu tu pia kama unahitj miwan kwa bei nafuu nichek 0776371092
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…