M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Kipi afadhali? Miwani milele vs ARViiii (karanga) mpaka kufaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kitu ganiJaribu kutumia hii kitu kutoka jumia inaweza kukusaidia.
Eye care Softgel
Ndo kitu gani
Dawa gani mkuu??Nikiwahi kupatwa na tatizo hilo miaka miwili nyuma nikaenda kupima wakasema itabidi nivae miwani. Kwenda kupima, lens zote zikagoma, hakuna iliyonisaidia. Wakanipa dawa, hadi sasa nadunda tu bila miwani na uoni wangu unaimarika kidogo kidogo.
ok ahsante sana hata hivyo nimejitahidi hivi vitu ni watz wachache tunatambua uwepo wakeHapo palipokolezwa,
Siku nyingine sema 'Braile' (Maandishi/Herufi-nundu).
Brela, Ni mamlaka ya Usaili wa majina ya Wachuuzi.
Walinipa vidonge vya vitamin B, nikatumia mwezi but sikuona mabadiliko nikaenda kuchukua vitamin B complex, hali ikawa inaimarika kidogo kidogo.Dawa gani mkuu??
Ulienda hospitali gani mkuu??Walinipa vidonge vya vitamin B, nikatumia mwezi but sikuona mabadiliko nikaenda kuchukua vitamin B complex, hali ikawa inaimarika kidogo kidogo.
Hospitali ya macho mvumi, dodoma.Ulienda hospitali gani mkuu??
Duhhhhhhh!!! Mkuuuu!!! Lenzi 5.00??? Hatari sana!!! Hii yangu 2.5 tu naiona kali sana lakini inanifaa.Hadi hii leo navaa miwani ni Mwaka wa 12 huu, hivi sasa namba yangu ya lenzi ni -5.00
Nilichoweza kukigundua katika kipindi chote hicho ni kwamba, lensi haishiwi nguvu bali ni ubovu wa macho ndiyo unazidi. Hivyo utahitaji lensi kubwa zaidi kuliko mwanzo, ili uendane nayo.
Miwani haina tofauti na uraibu, nikimwona mtu anataka kuvaa namshauri aache kwanza labda tatizo liwe kubwa. Hii ukiivaa haswa hizi za kuonea mbali, huachi ndiyo milele hiyo.
Ndiyo maana hadi leo hii ninatumia miwani muda wote labda nikilala na kuingia chooni ndiyo naivua.
Ukivaa miwani ndiyo basi tenaDuhhhhhhh!!! Mkuuuu!!! Lenzi 5.00??? Hatari sana!!! Hii yangu 2.5 tu naiona kali sana lakini inanifaa.
Hopefully, baada ya miaka miwili nasikitika naweza kufikia 4.00 lens capacity!! Macho yangu hayapati ahueni kabisa.
Jitahidi kutumia sana tiba za vyakula....Hawasemi. Ila wanashauri kurudi kupima kila baada ya miezi sita.
huwe kua kipofu kinachokusumbua wewe ni kitu kinaitwa myopia yan rays of light znashidwa kufika kwenye retina ili zipelekwe na kwakua kinachoona ni ubongo then taarifa haifiki vzr kweny ubongo{visual cortex} ndo maana unapata hiyo shida ndo maana ukapewa concave ili kukusanya miale ya jua kuileta pamoja ili ifike kwenye ubongo uswaz vaa miwan mda mrefu tu pia kama unahitj miwan kwa bei nafuu nichek 0776371092Wajuzi wa mawani za macho mnisaidie nisije kupofuka.
Kipindi cha nyuma nilikuwa nina UONI hafifu sana. Nilikuwa siwezi kuona mbali.
Baada ya muda nikapima nikapatiwa miwani yenye 1.5 lens capacity.
Nimetumia lenzi husika kwa miezi saba nikawa naona lenzi inakosa nguvu kabisa, nikaenda hospital wakanibadilishia wakaniwekea lenzi imara kidogo ya 2.5.
Lenzi hii ya 2.5 ni nzuri sana kiasi kwamba NAONA vitu vyote kwa usahihi mpaka najisikia raha natamani niwe natizama tu. MAANA NAHISI macho yameponywa.
Lakini nikivua tu miwani NAHISI NAKUWA KIPOFU COMPLETELY. Hata ule uoni hafifu wa mwanzo umezidi kuwa hafifu MARA MIA ZAIDI. Kwahiyo kimsingi MAWANI hayabanduki usoni kutwa kuchwa nimebeba maglasi usoni.
Hivyo basi kuvaa mawani ndio kunaharibu kabisa UONI halisi?? na nitatakiwa kuvaa haya mawani muda wote wa maisha yangu? ama baada ya muda nitapona ili niyatue haya maglass???
Wajuvi............
AMBOKILE AMANZI.