mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 832
- 992
Habari ya wakati huu.
Nina mwenza wangu (KE) anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa ukeni(pembeni mwa uke kwa nje). Tumeenda hospitali mara kadhaa lakina tatizo limekuwa likijirudia rudia tu. Naleta kwenu kwa ambaye anafahamu chanzo cha tatizo, tiba na ushauri asisite kutoa maana hili tatizo lamletea discomfort sana likianza.
NB:hakuna discharge yeyote ni miwasho tu ambayo inapelekea michubuko kutokana na kujikuna. Umri wake ni 25years.
Nawasalisha