Miwivu waliosema SGR ya Kenya ni white Elephant, tazameni hapa kwa makini

Miwivu waliosema SGR ya Kenya ni white Elephant, tazameni hapa kwa makini

No one is been forced to use Sgr get you facts right.
KPA and KRA says ALL imported cargo from Mombasa to Nairobi to be transported through Standard Gauge Railway from Aug 7, this is totally dictatorship to the failed project like your SGR.

Mchina is getting mad day by day sababu haoni chapaa kabisa kwenye coffers, lazima muwehuke
 
Heheheee!!!habari za vijiweni kaa nazo..sgr lini umeskia imesafiri empty mombasa nairobi...m.r ali kujua...hujambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni habari ya kijiweni?. Hakuna anayetaka kutumia SGR yenu, serikali imeamua kulazimisha wafanyabiashara kutumia Old, slow, and expensive diesel Engine trains.
 
No one is been forced to use Sgr get you facts right.

Huyu mfanyabiashara anayetumia bandari ya Mombasa anasema serikali ya Kenya imekataza watu kutumia magari yao, kwamba Cargo yote lazima ichukuliwe na SGR, wewe unapinga nini?
 
KPA and KRA says ALL imported cargo from Mombasa to Nairobi to be transported through Standard Gauge Railway from Aug 7, this is totally dictatorship to the failed project like your SGR.
Mchina is getting mad day by day sababu haoni chapaa kabisa kwenye coffers, lazima muwehuke
Mombasa port=1.5m teus, icd Nairobi=450 thousand teus. Port capacity= 30m tons, sgr carrying capacity=22m tons...See how absurd you sound..
 
Nadhani habari imeshakuingia...porojo sitaki...mkishamaliza ku order kila kitu...mfungue na uzi pia tupige hesabu mlivyopigwa[emoji122][emoji122][emoji122]
The project is on it's deathbed ndio maana you use dictatorial approach to save the already failed con

Kenya does not have free trade, why are you forcing people to use SGR while they don't want to? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Hii con itawapeleka the Hague
 
Wacha porojo....sgr sai iko na miaka mingapi inapiga route...siasa za kenya si size yako bro....unafikiria mkenya ataweza kufanya biashara ya hasara tena eti sio kw hiyari yake ila ni ya kuburuzwa...km hujui vitu vinayoenda kenya cheza chini...

Na hamna mtu aliyefunga biashara yake...we unawajua business community au una wasikia
Unamaanisha mzigo wa kulipa deni na hasara inayosababishwa na SGR unaongezeka kwa wananchi?
 
Wacha porojo....sgr sai iko na miaka mingapi inapiga route...siasa za kenya si size yako bro....unafikiria mkenya ataweza kufanya biashara ya hasara tena eti sio kw hiyari yake ila ni ya kuburuzwa...km hujui vitu vinayoenda kenya cheza chini...

Na hamna mtu aliyefunga biashara yake...we unawajua business community au una wasikia

Sisi tunawajua tu... oops sorry, tunawasikia tu... ila kama wewe unawajua vizuri, tuunganishe bro, na sisi tuwatumie mahindi... iko kibao huku...
 
Sisi tunawajua tu... oops sorry, tunawasikia tu... ila kama wewe unawajua vizuri, tuunganishe bro, na sisi tuwatumie mahindi... iko kibao huku...
burning-bush-ii.png
burning-bush-ii.png
burning-bush-ii.png
 
Back
Top Bottom