KPA and KRA says ALL imported cargo from Mombasa to Nairobi to be transported through Standard Gauge Railway from Aug 7, this is totally dictatorship to the failed project like your SGR.No one is been forced to use Sgr get you facts right.
Heheheee!!!habari za vijiweni kaa nazo..sgr lini umeskia imesafiri empty mombasa nairobi...m.r ali kujua...hujambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
No one is been forced to use Sgr get you facts right.
Mombasa port=1.5m teus, icd Nairobi=450 thousand teus. Port capacity= 30m tons, sgr carrying capacity=22m tons...See how absurd you sound..KPA and KRA says ALL imported cargo from Mombasa to Nairobi to be transported through Standard Gauge Railway from Aug 7, this is totally dictatorship to the failed project like your SGR.
Mchina is getting mad day by day sababu haoni chapaa kabisa kwenye coffers, lazima muwehuke
Hii ni habari ya kijiweni?. Hakuna anayetaka kutumia SGR yenu, serikali imeamua kulazimisha wafanyabiashara kutumia Old, slow, and expensive diesel Engine trains.Tea companies give SGR wide berth over high transport costs
Tea firms have now opted to use road in transporting millions of kilos of tea.www.businessdailyafrica.com
Tulia tuwape litembo jeupe kwanza elephant on acid my friendPungza jazba[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Tulia tuwape litembo jeupe kwanza elephant on acid my friend
Diamond jubilee DodomaUzinduzi lini
The project is on it's deathbed ndio maana you use dictatorial approach to save the already failed con
Kenya does not have free trade, why are you forcing people to use SGR while they don't want to? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Hii con itawapeleka the Hague
Tunaenda hivihivi ni follow niku unfollow
Ugua pole pole tu...wakati sgr dume mizigo inaongezeka....
Unamaanisha mzigo wa kulipa deni na hasara inayosababishwa na SGR unaongezeka kwa wananchi?Kenya’s big SGR dream begins to fizzle out as losses mount
It was billed as the saviour of the choking Mombasa port traffic.www.thecitizen.co.tz
Wacha porojo....sgr sai iko na miaka mingapi inapiga route...siasa za kenya si size yako bro....unafikiria mkenya ataweza kufanya biashara ya hasara tena eti sio kw hiyari yake ila ni ya kuburuzwa...km hujui vitu vinayoenda kenya cheza chini...
Na hamna mtu aliyefunga biashara yake...we unawajua business community au una wasikia
Sisi tunawajua tu... oops sorry, tunawasikia tu... ila kama wewe unawajua vizuri, tuunganishe bro, na sisi tuwatumie mahindi... iko kibao huku...
Tanzania ikijipanga vizuri inaweza ku-lure disgruntled importers to use Tanga n Dar ports!
Huyu mfanyabiashara anayetumia bandari ya Mombasa anasema serikali ya Kenya imekataza watu kutumia magari yao, kwamba Cargo yote lazima ichukuliwe na SGR, wewe unapinga nini?