Mixer Za Konyagi

nngh BN
Nitajaribu maana nakunywa dompo chupa nzima sifeel kitu

hahhha we kiboko! mie niliutwika valentine dompo 3 with my frnd mpk leo huwa nataman sana kumuuliza dada wa kazi nilifikaje hom naishia kumezea tu! ila nakumbuka sikukuta mtu hom nikaingia kulala hapo saa 11 jio n! tumetoroka job saa 5 toka pale sijanywa teeenaaa!mie dompo 1 sasa hv namaliza ila nalewa! sema silew kihuni nalewa najielewa nadrv saaqfi kbs had hom! ila dompo ***** jaman kha! ilibid mume ajue tu kuwa nimelewaa hahhaa sitakl kukumbuka jaman! ila mie hua sivomit hataa!🙂
 
Unaishi kama mimi yani.....kitu cha felle pembeni...konyagi na mimi ni marafiki wazuri hata waichanganye na fragille
 
SIKU HIZI UNASTRESS ZA NINI WAKWETU JAMANI?


USIJE KUWA KAMA IVAN ASEE
 
Cjui ata kwann nmepita humu asee.....am trying 2 quit drinking lakn nmesoma apa nshapata hamu ya kupombekaa.....aaaargh....!!!!!


unaweza sana kuacha .kaa mbali na wanywaj! mie pombe haijawah niendesha maisha yangu aic! nakaaga had miez 6
 
Aliye kidume ajaribu ku mix na REDI BULL lazima FM ikate haraka hata kama wewe ni "mkongwe" wa kilaji
 
unaweza sana kuacha .kaa mbali na wanywaj! mie pombe haijawah niendesha maisha yangu aic! nakaaga had miez 6
Good 4 u aseee.....m nlkaaga mwez badae nkashndwa...ad leo hua najtaid sana bt holla.....an most of frnds zng n mulemule....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…