Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adam hakudanganywa, mwanamke hana kipaji cha kumdanganya mwanaume, sema wanaume wakishapenda hujitoa kafara kwa wapenzi wao. Adam alijua nini kitamtokea ila hakuwa tayari kimtokee Eva pekeyake.
Atamdanganya mwanamke mwenzake tu, si mwanaume tena mpenzi wake kabisa hawezi. Mwanamke ana viongo vingi vinavyoongea na hawezi kuvikontroo. Kwa hii kesi Eva hakumdanganya Adam bali Shetani ndiye aliyemdanganya Eva na Adam alilijua fika. Inshu ya Samson, Samson alifahamu hila za Delilah zote ndo maana alikuwa akimkwepesha, alizidiwa na upendo wake tu akaamua kujitoa kafara.mwanamke hana kipaji ha kudanganya?????
Mtu kufika level ya konyagi si wanywaji tena...ni walevi [emoji3][emoji3][emoji3]haha wanywaji bwana
Jana nilikuwa beach.kuna msela nilimuona anakunywa chibuku.babaa baada kama dakika 15.nilimuona kalewa chakarii.hajiwezi.
Yaan hawa wadogo zetu.wanaharibika.alafu ina harufu ngumu jaman dah!mbyaaa
Yaan hawa wadogo zetu.wanaharibika.
Alilewaaaa.chibuku sio chai.akaanza kuleta fujo kwa wenzie.
Hahahah, ninyongee tom moja basi bibieHapo mixer sigara unaharibu. Weka bangi.
Ntake radhi mkuu! [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Mtu kufika level ya konyagi si wanywaji tena...ni walevi [emoji3][emoji3][emoji3]
Ewaaaaaa [emoji6]🙂 teh naomba radhi mnywaj mwnzangu
Ewaaaaaa [emoji6]
Konyagi changanya na safari (mbuyu sio vibanda) ndio inakuwa tamu!
Jaribu siku moja,hahahahahahahaha ulevi wake si wa nchi hii aic
Jaribu siku moja,
Kumbe wapenda vi sweet,hahahaha mi hizo hamna aic,naishia smirnorf black ice basi!mi kinywaj must kiwe sweet