Mixer Za Konyagi

Adam hakudanganywa, mwanamke hana kipaji cha kumdanganya mwanaume, sema wanaume wakishapenda hujitoa kafara kwa wapenzi wao. Adam alijua nini kitamtokea ila hakuwa tayari kimtokee Eva pekeyake.


mwanamke hana kipaji ha kudanganya?????
 
mwanamke hana kipaji ha kudanganya?????
Atamdanganya mwanamke mwenzake tu, si mwanaume tena mpenzi wake kabisa hawezi. Mwanamke ana viongo vingi vinavyoongea na hawezi kuvikontroo. Kwa hii kesi Eva hakumdanganya Adam bali Shetani ndiye aliyemdanganya Eva na Adam alilijua fika. Inshu ya Samson, Samson alifahamu hila za Delilah zote ndo maana alikuwa akimkwepesha, alizidiwa na upendo wake tu akaamua kujitoa kafara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…