FYI konyagi chupa kubwa zaidi (mpya) pamoja na K-Vant zina sukari sana (sweet). Mm napenda Konyagi ya chupa ya size ya kati (bapa ya zamani) ni chungu, na ndio utamu halisi naoutaka, siyo wa sukari.hahahaha mi hizo hamna aic,naishia smirnorf black ice basi!mi kinywaj must kiwe sweet
NjooHahahah, ninyongee tom moja basi bibie
Ha haaaa itakuwa ni dawa ya kienyejiJaribu konyagi na dawa ya mswaki
FYI konyagi chupa kubwa zaidi (mpya) pamoja na K-Vant zina sukari sana (sweet). Mm napenda Konyagi ya chupa ya size ya kati (bapa ya zamani) ni chungu, na ndio utamu halisi naoutaka, siyo wa sukari.
Kwa sababu ww unapenda sweet Konyagi kubwa (mpya) na K-Vant zinakufaa, ama cocktail mix na Malta Guiness au Power Malta.
teh teh! namanisha usweet haswa km nakunywa robrtson sipnd uchungu mie ! ntataste siku 1
SwadataAdam hakudanganywa, mwanamke hana kipaji cha kumdanganya mwanaume, sema wanaume wakishapenda hujitoa kafara kwa wapenzi wao. Adam alijua nini kitamtokea ila hakuwa tayari kimtokee Eva pekeyake.
Konyagi Tam Kuliko Hata Fanta Try 1 DayMtu kufika level ya konyagi si wanywaji tena...ni walevi [emoji3][emoji3][emoji3]
Naelewa Sana Mambo Ya Mdudu Na NyagiRaha ya KONYAGI ipige kavu kavu tena ipige kwa shots kudaDeQ....
Afu jikoni umeagiza mdudu ako swaffii....
Afu kwa mbaali unackia bolingo ya taratiibu...
Raha ya hapo ase RAHA YA HAPO ASEE....
Nin Kitatokea......????[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Jaribu konyagi na dawa ya mswaki
Ni sweet haswaaa, cyo chungu.. labda unapokunywa kavu ni kawaida kuhisi kama moto flani unakuchoma mdomoni na kwenye koo.
Hiyo mbona ndio kwakee hapa,teh teh tualikane tuu,me ntakuja na ya kumixia[emoji41]jifunz kunywa wine ww hutajuta! anzuia robertson yalah! kama dini 🙁inaruhusu lakini unapiga marmoja moja!
Hapana! Situmii kileviKonyagi Tam Kuliko Hata Fanta Try 1 Day
Nikiwa form six, nilikua na mwanangu mmoja hivi tuliivana sana, sasa wikendi tulikua tunasepa skul tunaingia kitaa kugida mtungi.. Mwanangu alikua anatengeneza cocktail ndani ya tumbo.. Mkifika kaunta anakunywa vinywaji karibu vyote vya kaunta lakini kila kinywaji anakunywa ujazo mmoja (Mara moja tu, kikikata anaagiza aina nyingine) sasa kuna siku bwa shekhe alienda peke yake (nilikua na mishe mingine camp) alifanya umafia vibaya sana, nilikuja kupewa taarifa kama saa kumi usiku "kua mwamba kalala mtaroni na alifika hapo kwa kutambaa". kwenda kumcheki yuko hoi bin taaban malikit. Daaah ila Kamanda alikua anagida aisee, mixer mipuri na mafegi.Kuna jamaa hapa wanaita Morogoro, location...Morogoro hawa jamaa wana ndoo ya lita kumi wanachanganya
Konyagi labda bapa 2, banana 10, Eagle bier, balimi, fanta orange, valuuu cjui, wanamix na ugoro, ndooo inajaa kisha wana vikombe vyao maalum, kifupi wanachanganya bia zote zilizopokaunta, ni vijana tuu, sasa baada ya kunywa huo mkorogo, ikishapita nusu saa, ukipita eneo hilo utazani kuna ajali imetokea, nimeona hii Morogoro jirani na uwanja wa sabasaba
Nibebe nini? Nina Loraa kinomaNjoo
Jaman. Hakuna Kinywaji Kitam Kama Konyagi
Ukiimix Na
Konyagi Na Bitter leomon
Konyagi Na 7 Up
Konyagi Na Dompo
Konyagi Na Tonic
Raha Sana
Waiter Zungusha Tena [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
Njoo kama ulivyoNibebe nini? Nina Loraa kinoma
Niwepo kushuhudia![emoji4] [emoji4]will try...
Niwepo kushuhudia![emoji4] [emoji4]