Mixer Za Konyagi

Naona unaifuatilia sana hii mada. Hapo kwenye avatar ni konyagi na nini? [emoji23] [emoji23]

hahahahahha hamna alafu mie sipo kwenye unywaj wala ulev! hap ni cocktail ya alcohol inaitwa sunrise! very sweet ila inachukua balaa! suijui wanamix tequila na manini nini nazipendaga cz zinamixiwa na fresh juice yaan soo romantic
 
Niliwahi kunywa moja inaitwa " sex on the beach". Iko poa sana lakini so expensive..bora BALIMI yangu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
yes vina bei tunakunywa kwa mawaz tu teh teh(ina jina traaam,sex on the beach)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…