Mixer Za Konyagi

Mixer Za Konyagi

konyagi ukimix na zanzi na maziwa fresh, huwezi jutia pesa na muda wako!
 
505c904cc0c7782b5b2533a3f4c18104.jpg
Huwa naliamsha dude na Limao kwa mbali mixer Moshi... NaliamshaDUDEEE
 
Konyagi mix na juice ya komamanga

Kumbe wewe kama mimi.

Mi nachanganyaga pia na juis ya ukwaju cicktail kihome home na mamsap pembeni tunacheki seriez baada ya hapo Shoo ya kibabe
 
Back
Top Bottom