Mizani na Gesi

Mizani na Gesi

Albert Wilson Albert

Senior Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
191
Reaction score
226
Ni nini kinasababisha Wauza gesi ya Kupikia kutokuwa na Mizani pamoja kuwepo kwa matamko yasiyo tekelezwa mara kwa mara?

Gesi tunauziwa ujazo ambao siyo kwa Bei ile ile hili ni tatizo kubwa kwa Wasambazaji na Wauzaji wa Gesi.

Waziri wa Nishati hii hali unaichukulia vipi?


Kwa kifupi ujazo siyo sahihi
Hakuna muuza gesi mwenye Mzani, ni kipi kinafanya kusiwepo mizani?
 
Labda tususie kununua gesi kwa muda akili iwakae sawa,

Hapa ndio utajua umoja wa watanzania ni 0,utasusa wewe, wenzio wananunua.. 😂🤣
 
Back
Top Bottom