A Albert Wilson Albert Senior Member Joined Aug 22, 2018 Posts 191 Reaction score 226 Jul 16, 2024 #1 Ni nini kinasababisha Wauza gesi ya Kupikia kutokuwa na Mizani pamoja kuwepo kwa matamko yasiyo tekelezwa mara kwa mara? Gesi tunauziwa ujazo ambao siyo kwa Bei ile ile hili ni tatizo kubwa kwa Wasambazaji na Wauzaji wa Gesi. Waziri wa Nishati hii hali unaichukulia vipi? Kwa kifupi ujazo siyo sahihi Hakuna muuza gesi mwenye Mzani, ni kipi kinafanya kusiwepo mizani?
Ni nini kinasababisha Wauza gesi ya Kupikia kutokuwa na Mizani pamoja kuwepo kwa matamko yasiyo tekelezwa mara kwa mara? Gesi tunauziwa ujazo ambao siyo kwa Bei ile ile hili ni tatizo kubwa kwa Wasambazaji na Wauzaji wa Gesi. Waziri wa Nishati hii hali unaichukulia vipi? Kwa kifupi ujazo siyo sahihi Hakuna muuza gesi mwenye Mzani, ni kipi kinafanya kusiwepo mizani?
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Jul 16, 2024 #2 muhimu sanA
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Jul 16, 2024 #3 Labda tususie kununua gesi kwa muda akili iwakae sawa, Hapa ndio utajua umoja wa watanzania ni 0,utasusa wewe, wenzio wananunua.. 😂🤣
Labda tususie kununua gesi kwa muda akili iwakae sawa, Hapa ndio utajua umoja wa watanzania ni 0,utasusa wewe, wenzio wananunua.. 😂🤣