Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hairuhusiwi kutumika hyo KWA Sasa watu wa mizani,utachukuliwa bure wakiikuta kwenye biashara,Yangu ishachukuliwaNauza mizan ya kupimia bidhaa za dukani.Haina tatizo lolote.
Imepimwa kila kitu
Bei:Tsh 80000
Morogoro
0658971481
View attachment 1922919View attachment 1922920View attachment 1922921View attachment 1922923
Wanataka ya namna gani?Hairuhusiwi kutumika hyo KWA Sasa watu wa mizani,utachukuliwa bure wakiikuta kwenye biashara,Yangu ishachukuliwa
Zipo zimeandikwa CHOGOGWEWanataka ya namna gani?
Hizo ndo zinakubalika?Zipo zimeandikwa CHOGOGWE
KariakooHizo ndo zinakubalika?
Zinapatikana wapi na bei zake sh ngapi mkuu
Bei zake tafadhali!Kariakoo