Mizeituni Bar ya Manzese yateketea kwa moto

Mizeituni Bar ya Manzese yateketea kwa moto

Uzuri uislamu unakataza kabisa masuala ya pombe. Hata siumii. Safi.
Huu ndiyo unafiki wa watu wanaojifanya wanaijua dini kuliko binadamu wengine. Unakuta mtu anaogelea kwenye ziwa la uasherati, ufisadi na roho mbaya lakini anajifanya kuichukia pombe kiasi cha kushangilia majanga. Na watu wa aina hii wapo dini zote. Kuna jamaa mmoja kila siku anatembea na biblia kubwa kama sanduku la nguo na kujifanya kunukuu vifungu kwa upole na kufunga. Likija suala la ngono na uasherati ni bingwa.
 
Vita ya moto isikie tu , hivi hao jamaa wanaosogeza vitu wasije kusepa navyo kabisa
 
Back
Top Bottom