Mizeituni Bar ya Manzese yateketea kwa moto

Mizeituni Bar ya Manzese yateketea kwa moto

Uzuri uislamu unakataza kabisa masuala ya pombe. Hata siumii. Safi.
Mimi naumia wewe kumiliki kababywalker badala ya SUV!
E1gl9.jpg
 
Manzese ilikua enzi hizo. Malaya wa Kihaya wa kumwaga shilingi tano yako tu unapona enzi hizo Mambo Ni nyama nyama.
Tatizo Ni wakati wa kutoka kwa mhaya, mtu anakua na aibu utakuta uso umeangalia chini huku mkono mmoja ukiwa mfukoni.
Siku hizi hakuna starehe bali kuna uchafu tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom