Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Jamaa ameondoka mioto imeanza kuwaka tena.
Mkuu hebu mswalie mtume , mbona imeungua hadi mishikaki na maji !Uzuri uislamu unakataza kabisa masuala ya pombe. Hata siumii. Safi. Malipo ya ukafiri hayo.
πππJamaa ameondoka mioto imeanza kuwaka tena.
πππAiseeeh ni petrol au...yaani mnazi mbichi unateketea kama Somalia vilee ukifika kaunta si ndo balaa ya milipuko
Mavilevi yenyewe zaidi ya petrol mkuu.Aiseeeh ni petrol au...yaani mnazi mbichi unateketea kama Somalia vilee ukifika kaunta si ndo balaa ya milipuko
Huu ndiyo unafiki wa watu wanaojifanya wanaijua dini kuliko binadamu wengine. Unakuta mtu anaogelea kwenye ziwa la uasherati, ufisadi na roho mbaya lakini anajifanya kuichukia pombe kiasi cha kushangilia majanga. Na watu wa aina hii wapo dini zote. Kuna jamaa mmoja kila siku anatembea na biblia kubwa kama sanduku la nguo na kujifanya kunukuu vifungu kwa upole na kufunga. Likija suala la ngono na uasherati ni bingwa.Uzuri uislamu unakataza kabisa masuala ya pombe. Hata siumii. Safi.
Jamaa ameondoka mioto imeanza kuwaka tena.
Uzuri uislamu unakataza kabisa masuala ya pombe. Hata siumii. Safi.
Lakini Quran inatuahidi kuwa kule peponi kutakuwa na mifereji itemshayo mvinyo safi sheikhUzuri uislamu unakataza kabisa masuala ya pombe. Hata siumii. Safi.
Uzuri uislamu unakataza kabisa masuala ya pombe. Hata siumii. Safi.
πππIla uzinzi na ulafi imeruhusu sio