Tetesi: Mizengo Peter Pinda ndiye Makamu M/kiti CCM Bara

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bwana Mizengo Peter Pinda, ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara anayetarajiwa kutangazwa hivi karibuni.

Ndugu Mizengo anatarajiwa kupigiwa kura za ndiyo ama hapana mapema hivi karibuni kwenye Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.

Hongera WM mstaafu ndugu Mizengo.
 
Mimi naamini kuwa ni lazima atakuwa yeye kwa sababu huyu ndiye aliwahi kuokoa jahazi kwenye situation nyingine inayofanana na hii iliyotokea mwaka 2007
 
That is obvious. The man of God is wise and well suited for the job at hand. Atamsaidia sana mama yetu na mwenyekiti na Rais wetu wa Jamhuri. Mama atapiga kazi huku moyo umetulia kwa amani
 
Japo ni tetesi ila kitu "hapana"hakipo hapo ni kura za ndio pekee
 
Mimi naamini kuwa ni lazima atakuwa yeye kwa sababu huyu ndiye aliwahi kuokoa jahazi kwenye situation nyingine inayofanana na hii iliyotokea mwaka 2007
Sio kwamba ye ndio atasaidia kumpata mtia nia mpya Mwaka huu ndani ya chama!!?
 
Mbona mnatuchanganya sasa
 
Duh! WM mstaafu naona km alipaswa kubaki kwenye baraza la wazee washauri! 😄
 
Hana uwezo
 
Hana baya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…