TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Ulitaka nani achukue cheo hicho?Mwenye nacho ataongezewa. Pongezi kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka nani achukue cheo hicho?Mwenye nacho ataongezewa. Pongezi kwake
Kwa mujibu wa msemaji, jina upendekezwa na kamati Kuu, kisha halmashauri Kuu halafu ndiyo uletwa kwenye mkutano Mkuu kupigiwa kura.Form za wagombea nafasi zilitoka lini??
Duh!Hana uwezo
Kwanini wanaweka watu waliokwishakula nchi na kustaafu?Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bwana Mizengo Peter Pinda, ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara anayetarajiwa kutangazwa hivi karibuni.
Ndugu Mizengo anatarajiwa kupigiwa kura za ndiyo ama hapana mapema hivi karibuni kwenye Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Hongera WM mstaafu ndugu Mizengo.
WeweUlitaka nani achukue cheo hicho?
Amen. Karibu DodomaWewe
Wana watu wa kutosha wasio na utoshelevu wa uongozi bora.CCM inapokuja suala la watu wa kuongoza chama chao, wana watu wa kutosha...
Mbona wengine wanasema ni "Nchimbi "Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bwana Mizengo Peter Pinda, ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara anayetarajiwa kutangazwa hivi karibuni.
Ndugu Mizengo anatarajiwa kupigiwa kura za ndiyo ama hapana mapema hivi karibuni kwenye Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Hongera WM mstaafu ndugu Mizengo.
..duh kwa hivo jina liko kwenye pochi ya Samia?😂Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bwana Mizengo Peter Pinda, ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara anayetarajiwa kutangazwa hivi karibuni.
Ndugu Mizengo anatarajiwa kupigiwa kura za ndiyo ama hapana mapema hivi karibuni kwenye Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Hongera WM mstaafu ndugu Mizengo.