Tetesi: Mizengo Peter Pinda ndiye Makamu M/kiti CCM Bara

MakamuCCM ni cheo cha wazee na wastaafu......Pinda yes anafaa maana yeye ndio ndio mzee x 100
 
Kwanini wanaweka watu waliokwishakula nchi na kustaafu?
 
Tatizo.la CCM wanachagua watu wasio na mvuto wa kisiasa ..nguvu za mwili zimeshaisha - eti utii wa chama.

Hii position ingemfaa sana Polepole Mzee wa weka moshi shimoni wahuni wachomoke.
 
Mbona wengine wanasema ni "Nchimbi "
Katibu atakuwa polepole
 
Kwanini wasiwekwe vijana kuna akina Mavunde wapo vizuri sana,wakati mngine tunatamani nchi ishiwekwe angalau na vijana
 
Nasikia pia Yusuph makamba anaweza pewa hicho cheo ila hapo watakuwa wamehatibu vibaya mnoo in Manyema voice ♥️
 
..duh kwa hivo jina liko kwenye pochi ya Samia?😂
 
Akae yeyote ila utekaji usiwepo. Ripoti ya kibao isomwe hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…