Mizengo Pinda declares assets in anti-graft drive

Mapm hawana bahati ya kuwa marais. May be they simply can't or knows too much about the Presidency. You can put it the way you want.
 
He probably means "under his name".. it doesn't include his wife, children or other close family members.. thats why I would like to see his declarations forms.
May be but I would like to give PM Pinda some benefit of doubt given the following reasons.
First, Pinda is a lawyer and I believe he clearly understands the consequences of making a dubious declaration particularly after the Chenge radar saga. Second, he has walked the talk by putting himself under public scrutiny knowing very well the heat his action will generate. Lastly, Pinda is actually daring his boss, President Kikwete to come out of his hole and be counted. Whether J.K will oblige is just a matter of conjecture.
 
Unlike his predecessor, Edward Lowassa. who was sacked for corruption, this guy sounds sincere. Pinda is not motivated by personal financial gain. Congratulations Pinda!
 
He probably means "under his name".. it doesn't include his wife, children or other close family members.. thats why I would like to see his declarations forms.
That should be most important step towards proving of the already mentioneed. Let's wait and see when the form is filled.
 
Baada ya vipindi viwili vya Uwaziri mkuu napo tutaomba atangaze ana ng'atuka akiwa amevuna nn? mwanzoni iwa wanakuwa maskini kama hivi mwishoni mmh
Ni kweli! Hata hivyo kuwa maskini leo na baadaye mwishoni akawa tajiri hakutamaanisha amefuja mali za umma. Hii ni kwa jinsi maisha yake sasa hivi yalivyo, kwamba kila kitu kuhusu matumizi kodi zetu ndizo zinaendesha. Yawezekana mali zake (ikiwemo fedha kwenye akaunti yake benki) zikaongezeka. Ila kubwa ni pale ambapo ongezeko la mali hizo litaendana na kipato halali kwa mjibu wa ajira yake.

Tungemshauri kwamba, tumefurahi kusikia akitaja mali leo kwa ufafanuzi mrefu unaoeleweka. Hivyo, tunategemea hatua kama hiyo itafanyika mwishoni mwa u-PM wake. Hatua hiyo itatuwezesha kutofautisha kiasi cha utajiri wa kipindi hiki na cha mwisho lakini pia kuona uhalali wa ongezeko litakalokuwepo.
 
Hapa huwa wanafanya multiplier kwa ndugu zao na kuwapa ili wafiche ukweli kabisa na pia itakuwa ni busara hata wakati anatoka kwenye PM akasema maana hata Sumaye alisema lakini kipindi cha kumaliza hajasema kabisa hii ni hatari sana kwa taifa letu
 
All these people have vision issues. Hawawezi kuisaidia Tanzania.. Kikwete atataka kubakisha mtandao na hilo litawazuia hawaw for life. But lets be honest, the vision needed to help Tanzania cannot come from this generation of leaders.. We have to do better, Property declarations or not!..
 
That is just a clear message to his sub-ordinates. Very likely majority of them thought the forms are for the juniors. Ni kamtego hako, you wait and see the outcome. Utawasikia na wengine.


Wanakichaa mpaka watangaze??. Subiri mpaka watamaliza muda wa uongozi hatangazi mtu kwani ni lini wameambiwa watangaze lakini hawakufanya hivyo??????????????
 

You are not serious!
 
Pinda hana diplomatic ethics bado ana ile hali ya ujima ujima yakutumia typewriter, yuko too slow in action, by that time 2015 atakuwa na 67yrs too old to hold hot water hata reasoning capacity yake itakuwa imepungua we need young blood for that post by the way amependekeza ubunge uwe na kikomo vipindi vitatu na yeye 2015 atafikisha vipindi vitatu nafikiri tumwache akalee wajukuu.
 
Hafai....muongo muongo sana naye hasa kwenye hili dubwana na Richmond mbona anapigapiga chenga tu..kama kweli yeye ni PM si apeleke goma hilo bungeni na aliweke wazi...In short Pinda hafai na hata U PM aliupata basi tu.....
 
Mambo ya uchaguzi hayo yameshaanza. You highlight the good parts of, otherwise rotten fruit.
 

Sijaona mahali ambapo Pinda amesema anajivunia umasikini zaidi ya kuona kwamba ameeleza hali halisi ya alichonacho na kutoa maoni yake ya kutaka kuishi kiadilifu kwa kutegemea kile anachopata kihalali.

The Pinda we are talking about hawezi kufanya udanganyifu wa aina hiyo uliyoielezea.
 
Haka kaugonjwa ni ka Cabinet nzima ya Tanzania tangu utawala wa Mzee Ruksa isipokuwa kwa mawaziri wachache sana kama Jackson Makweta. Wengine wote kuzitafuna taasisi zilizo chini ya wizara zao ni kama kawa!

Kama Pinda anahusika kwa vyovyote vile kuhusu tuhuma hizi naomba mnikate shingo! Tufike mahali tuwaelewe watu/viongozi ambao ni genuine. Nadhani nchi yetu sasa imefika pabaya mno ambapo hata watu waadilifu hawaeleweki/hawaonekani/hawatambuliki kwa sababu baadhi ya watu wasio waadilifu wanataka kutuaminisha kwamba wengine wote wako kama wao.
 
How does he manage to pay tution fees for his two children who are studying at a foreign college which costs him more than U.S.$ 40,000 per annum? najua atasema allowances. Uzuri wa mkakasi......

Umesahau kwamba kuna sponsorship? Pia tukumbuke kwamba Pinda amekuwa Mbunge na Waziri kwa vipindi 2 sasa. Kwa wanaomfahamu wanaelewa kwamba amekuwa akiishi maisha ya kawaida sana and infact maisha ya chini ukilinganisha na vyeo vyake vya Ubunge na uwaziri. Kupata milioni 100 kwa mwaka kutoka kwenye mshahara na marupurupu yake ili aweze kuwapatia watoto wake elimu bora ni kitu kinachowezekana kabisa.
 
kwakeli, maana kama nakumbuka vizuri zile form mpya lazima hao wote utaje mali zao pia...na pia mmezipata lini, na hata ukiuza kitu unatakiwa ukitaje, form ni nzuri, tatizo ni wanoko kwenye kuzionyesha! wakati ni haki yetu!

Mrs Pinda kabla hajaingia kwenye ufahari wa kuwa mke wa Prime Minister alikuwa secretary wa kawaida kabisa. Siwezi kuamini kwamba angeliweza ku-amass wealth akiwa katibu muhtasi kwenye wizara ya Serikali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…