Mizengo Pinda declares assets in anti-graft drive

Kwa nini sasa manake imechukua muda mrefu tangu achaguliwe kuwa waziri mkuu sawa lakini
 
ubaya wa tz kina uonavyo si vilivyo,vina sura tofauti kwa ndani! kwa PM sina shaka sana,seems ana integrity pia mwoga wa kashfa si kama BM, FS, EL etc! vipi warioba?
 
Ametaja mali zake so what? what next?

Hatua hii haisadii, imechelewa sana mpaka inakosa maana.

Besides hizo mihela midogo aliyotaja ina maana anapenda anasa sana huyu..(matumizi mabaya ya pesa)

Finally nampongeza kwa kuonyesha mfano..waiting for whole cabinet to follow the ...
 
..kutaja mali tu, bila vyanzo vya mali hizo haitoshi.

..Waziri Mkuu anapaswa pia kueleza mapato yake kwa mwaka ni kiasi gani.

..mshahara, na marupurupu, anayopata toka serikalini yalipaswa kuwekwa wazi.
 
Hili fagio naona ingewaangukia hata wabunge wataje za kwao maana nao ni wawakirishi wa wananchi, kwa hiyo ni muhimu wananchi wajue viongozi wao wanamiliki mali gani na wamezipata lini na kipato kipi.

Ni kweli Mkuu. Ila Wabunge pia wanatakiwa kutaja mali zao kwa mujibu wa sheria (katiba pia inatamka hivyo). Kwahiyo, hilo si ombi mkuu. Ila ifahamike kuwa, utaratibu haumlazimishi mtu kutamka hadharani.
 

Why untill 2015???????
2010 je??/Muungwana au??we vp wewe,watu tumechoshwa na CCM we unatuletea habari za CCM madarakani 2015,una maana hii nchi iliandaliwa kwa ajili ya kutawaliwa na CCM.
Kama vp ondoa post coz inatu bore
 

umenikumbusha mbali sana mkuu..huyu si ndo alisema tusivae suti sisi ni masikini?hahaaa mina uhakika hawezi kufungua hata computer
 
why untill 2015???????
2010 je??/muungwana au??we vp wewe,watu tumechoshwa na ccm we unatuletea habari za ccm madarakani 2015,una maana hii nchi iliandaliwa kwa ajili ya kutawaliwa na ccm.
Kama vp ondoa post coz inatu bore

mkuu,weka wewe post yako,mimi nikiondoa utakosa post za kuchangia..........
 
umenikumbusha mbali sana mkuu..huyu si ndo alisema tusivae suti sisi ni masikini?hahaaa mina uhakika hawezi kufungua hata computer

heh!!! Kumbe computer ni kigezo kimojawapo cha urais!!??
 
..kwa hapo tulipofikia kwanini JK asiombwe kugombea hata baada ya 2015?
 

haya,huyo mwenye hizo diplomatic ethics,kaleta nini??
 
Remove this thread too otherwise MODS are biased, kulikuwa na threads mbili zinazofanana na hii moja Baregu for President na nyingine ya Lipumba for President lakini zimeondolewa zimepelekwa wapi sijui kama ni kwenye Forum ya Mchanganyiko kwa nini zisiwekwe wazi watu waendelee kuchangia? mbona hii haijatolewa au kuna watu humu special kwa kutoa thread tu na wengine wachangiaji tu? that is not fair let the playing ground be level to everybody.
 
Mapm hawana bahati ya kuwa marais. May be they simply can't or knows too much about the Presidency. You can put it the way you want.

Inawezekana tu au kwa kuwa hajawahi kuwa na Waziri wa mambo ya nje? Kwanini 2015 mmesahau kuwa mwaka huu ni uchaguzi na wanaruhusiwa kugombea? Au mnahofiwa kukutana na utabiri wa kifo wa Sheikh Yahaya?
 
Tukitaka nchi hii iendelehe basi ni kubadili chama Tawala.
 
Tukitaka nchi hii iendelehe basi ni kubadili chama Tawala.

Tatizo hatuna chenye unafuu. Vilivyopo hivi sasa havina tofauti na kampuni binafsi kama Mohamed Enteprise, a one man show.

Inaumiza kusema, lakini nafuu kutafuta-tafuta wenye nafuu ndani ya CCM kuliko utumbo tulio nao hivi sasa unaojiita - UPINZANI.
 
BILA SHAKA ANATUFAA JAPO KWAMIAKA MITANO TU. NAPENDA KUMKUMBUSHA TUMAIN KUWA RAIS MSTAAFU WA URUS AMBAYE SASA NI WAZIR MKUU YEYE HAJAWAH KUTUMIA COMPUTER WALA PIA KUPOKEA SIM YAN HANA SIM NA KAMA ATAKUMBUKA MWAKA FULAN ALIKUWA PERSON OF THE YEAR VIRADMIN PUTIN. NILAZIMA UJUWE UJANJA SIO KUWA NA SIM AU KUJUWA COMPUTER NILAZIMA UJUWE KUNA KAZ WATU HATA LAPTOP HAWARUHUSIW KUWA NAYO NILAZIMA UJUWE PINDA AME KUWA KATK IDARA ZA USALA KWA KIPINDI KIREFU HVYO ANAJUWA UBAYA WAKUTUMIA LAPTOP AU COMPUTER, WEL NAWEZA SEMA KAMA SISI WENYEWE HATUJAJUWA KUTENGENEZA LAPTOP AU COMPUTER HAIFAI VIONGOZ WETU KUZITUMIA MAANA USALAMA WA NCH NA MAL ZAKE UNAKUWA HATARIN NADHAN NISISEME SANA KTK HILI ILA NIKIWA KAMA MWANA HARAKAT NA MPIGANIA HAKI NA UHURU WA WATANZANIA NA MAL ZAO PINDA ANAFA KUWA RAIS AU MAGUFUL BILA SHAKA TAIFA LINGE PAA KIMAENDELEO. SHIME PINDA. God bless Tanzania and God bless Tanzanian. Thank u! Thank u.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…