GE2025 Mizengo Pinda: Msidanganywe na wanaotaka kuleta ubabaishaji wa amani

GE2025 Mizengo Pinda: Msidanganywe na wanaotaka kuleta ubabaishaji wa amani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Pinda amesema Tanzania ni nchi ya Amani na Dkt Samia amekuwa akihubiri hilo, hivyo wananchi Wasidanganywe na wababaishaji ambao wanataka kuharibu Amani ya Tanzania.

Mizengo Pinda amesema hayo katika Mkutano wa Kampeni za Urais zinazoendelea Kigoma akiwa Uvinza katika uwanja wa Tambuka Reli Kazura Mimba.

 
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Pinda amesema Tanzania ni nchi ya Amani na
Toka maktaba :

Johannesburg, Afrika ya Kusini

MADA : KULINDALI MAFANIKIO YA VYAMA VYA UKOMBOZI BAADA YA UHURU, VINAENDANA NA HAJA YA VYAMA HIVYO KUBAKI MADARAKANI African National Congress (ANC) itakuwa mwenyeji wa Kongamano la Kilele cha Vyama vya Ukombozi 2025 katika Hoteli ya Radison Blu, Kempton Park kuanzia leo tarehe 25 hadi..

Soma :

 
Hivi huwezi kua unakula uka kaa kimya propaganda za amani zimepitwa na wakati watu wameshajua mnaokula vinono ndo wanasisitiza amani wanaogopa kutolewa kwenye minofu mimi nafikiri kama waziri mkuu angesema uchunguzi huru uitishwe kwa kwa DG kwa skendo ya mtoto wake wako busy kusema amani walioko madarakani ndo watasabisha amani kutoeka amani alindwi kwa mtutu wa bunduki inalindwa kwa haki na uwajibikaji
 
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Pinda amesema Tanzania ni nchi ya Amani na Dkt Samia amekuwa akihubiri hilo, hivyo wananchi Wasidanganywe na wababaishaji ambao wanataka kuharibu Amani ya Tanzania.

Mizengo Pinda amesema hayo katika Mkutano wa Kampeni za Urais zinazoendelea Kigoma akiwa Uvinza katika uwanja wa Tambuka Reli Kazura Mimba.

Utakufa vibaya sana ww Pinda

Kaa kimya maana hatutaki uwe majawapo ya wale watakaonyongwa live mbele ya umma.
 
Huyu mzee naye aambiwe kuwa aendelee na kilimo cha zabibu na kufuga nyuki.

Sura yake mbaya, sasa asiendelee kutoa maboko ambayo yatatuaminisha kuwa hata roho yake ni mbaya.
 
Mashavu yamemshuka kama chopeko na mnofu.
 
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Pinda amesema Tanzania ni nchi ya Amani na Dkt Samia amekuwa akihubiri hilo, hivyo wananchi Wasidanganywe na wababaishaji ambao wanataka kuharibu Amani ya Tanzania.

Mizengo Pinda amesema hayo katika Mkutano wa Kampeni za Urais zinazoendelea Kigoma akiwa Uvinza katika uwanja wa Tambuka Reli Kazura Mimba.

Hawa watu wanapata wapi kigugumizi kuhusu kuhubiri Haki wakati wanajua AMANI ni tunda la HAKI wanatuonaje raia

No reform No Election
 
Miaka mingi anahubr amani neno haki kwake mwiko
Siyo kila mzee n wa kumsiliza zama hizi
 
Tuna amhudumii Babu yetu ( Crocodile Face ) vizuri.

Mizengo amani gani unayohubiri ?
Mdogo wako pale wizara ya Ardhi anapiga Dili za kutisha na Samia kamuamini mazima.

Siku atahusika katika kuuza maeneo yako hapo ndiyo tutaona ukiishi unayohubiri.
 
Back
Top Bottom