Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Toka maktaba :Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Pinda amesema Tanzania ni nchi ya Amani na
Utakufa vibaya sana ww PindaWaziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Pinda amesema Tanzania ni nchi ya Amani na Dkt Samia amekuwa akihubiri hilo, hivyo wananchi Wasidanganywe na wababaishaji ambao wanataka kuharibu Amani ya Tanzania.
Mizengo Pinda amesema hayo katika Mkutano wa Kampeni za Urais zinazoendelea Kigoma akiwa Uvinza katika uwanja wa Tambuka Reli Kazura Mimba.
Hawa watu wanapata wapi kigugumizi kuhusu kuhubiri Haki wakati wanajua AMANI ni tunda la HAKI wanatuonaje raiaWaziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Pinda amesema Tanzania ni nchi ya Amani na Dkt Samia amekuwa akihubiri hilo, hivyo wananchi Wasidanganywe na wababaishaji ambao wanataka kuharibu Amani ya Tanzania.
Mizengo Pinda amesema hayo katika Mkutano wa Kampeni za Urais zinazoendelea Kigoma akiwa Uvinza katika uwanja wa Tambuka Reli Kazura Mimba.