Mizengwe, kundi pekee la comedy lililosalia Tanzania!

Mizengwe ni jina lenye umri wa zaidi ya mtoto mwenye miaka 10.Majina mengi yamepita lakini mizengwe ipo..
Kabisa, hii brand ni kubwa!
Ni tofauti sana comedy nyingine!
 
Nmejilaumu sna kukosa kuangalia kipind cha leo
 
Na wakati huo ilikua ikiitwa MIZENGWE YA MAX NA ZEMBWELA

RIP Max
Naona Zembwela kawa mtangazaji
Plus chapombe massele na bi. Kiroboto!
Acha kabisa..
 
Marehemu Max alikuwa anachekesha Sana ila Mdogo wake alicover vizuri nafasi yake
 
My best comedy show.....kipindi kifupi ila lazma uvunje mbavu kwa kucheka....
 
WAKO VIZURI.

VERY REAL AND ORIGINAL.
 
Ila mbona waigizaji kwa wenzetu huwa hawabadiliki mfano Eddy Murphy yule yule hata anazeeka wetu kidogo tu wanafutuka balaa Mfano Mkwere na Kiwewe hadi wanapoteza ile uchekeshaji wao. Hongera kwa Joti na Masanja wamejitahidi kumaintain
 
My best comedy show.....kipindi kifupi ila lazma uvunje mbavu kwa kucheka....
Kweli kabisa, unaweza kukaa wiki nzima bila kucheka lakini ikifika j2 mida yao lazima mbavu zitafutane kwa kweli!
 
Kusema ukweli watu wengine wanao taka kufanya komedi wakajifunze kwa kwa hawa jamaa wa mizengwe, hata muda wa kundi lao kudumu muda wote huo ni somo toshwa kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…