Mizengwe, kundi pekee la comedy lililosalia Tanzania!

~~>>>Kina Masanja bora wamepotea walikuwa ni Mawakala wa kuutangaza Ushoga.....

Mizengwe ndio kipindi pekee cha Komedi Tanzania.
 
Ilikua initwa max n zembwela kipindi walivo toka kaole, wako poa sana r.i.p max
 
Kwani Comedy ya akina Masanja ingalipo?
 
Namkubali sana Mkwere na yule mzee Sumaku.

Jamaa wana vipaji halisi na wameridhika na wanachokipata.
 
Yaani Mizengwe ni moto wa kuotea mbali asikudanganye mtu, wameimarika sana, wabunifu sana, wasikubali kuingizwa kwenye siasa wala kufanya colabo na makundi mengine. Natamani ningekutana walau mmojawapo au kupata mawasiliano na hao nikawapa kile kilichoko moyoni mwangu ikiwa pamoja na shukrani za dhati ila nawakubali sana
 
Kweli
 
Wakiingia kwenye siasa tu, watapotea kabisa kwenye ramani ya comedy kama ndugu zao ze comedy!
Hao wamekwisha sambaratika na hata mvuto hawana tena...
 
Ze comedy ya kina masanja naikubali sana! Ivi bado inaonyeshwa siku hizi?
 
Usisahau kuwa pamoja na vipaji vya msanii mmoja mmoja, kundi hili llipo chini ya kamanda ZEMBWELA ambae ndie hasa anayetoa IDEA mbalimbali. .
 
hahaha hawa jamaa wanajua sana na wanaelimisha sana hadi raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…