wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Kama TFF itafata maelekezo ya Nyange Kaburu eti iruhusu wachezaji saba sasa vilabu vigomee mechi za kipuuzi isipokuwa ligi na klabu bingwa Afrika
Nahisi kuna harufu ya kumkwepa mnyama kwenye mechi ya Nani Mtani Jembe. Bahati mbaya sana ni kwamba hii mechi haiandaliwi kwa matakwa ya TFF bali wadhamini wa hivyo vilabu viwili, yaani Bia ya Kilimanjaro. Kama Yanga inaona inadhalilishwa ikicheza mechi hiyo, ni kiasi tu cha kujitoa kwenye udhamini huo.
Hayo mengine ya Nyange Kaburu na wachezaji saba wala hayahusiani na mechi za nje ya ligi pamoja na kwamba haueleweki ulitaka kuandika nini. Tulia upange hoja yako vizuri watu wakuelewe, vinginevyo hizo hasira ukiendekeza utaendelea kudondoka na kubebwa na timu ya red cross kwenye machela uwanjani kila mkikutana na mnyama

alioomba yanga 10 ila kuna habari tff wanataka kupitisha 7 na ndio kaburi alivyotamka nafikiri hapo utakuwa umelewaHivi aliyeleta hoja ya kuongeza wachezaji wa kigeni ni Kaburu au Yanga. Kumbukumbu zangu zinasema hadi barua Yanga imeandika kuomba TFF sasa hapo Kaburu anaingiaje?
Nyie tulieni tu na yule beki wenu Oscar Joshua mtachora chini mwaka huu
TFF wamepitisha wachezaji 8 wa kigeni kusajiliwa na wote wanaweza kucheza kwenye mechi, hii taarifa toka kwa Maulid Kitenge, Bin Zubeiry anasema 7
TFF YAPITISHA WACHEZAJI SABA WA KIGENI LIGI KUU NA WANACHEZA WOTE KWA WAKATI MMOJA UWANJANI | BIN ZUBEIRY