wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Kama TFF itafata maelekezo ya Nyange Kaburu eti iruhusu wachezaji saba sasa vilabu vigomee mechi za kipuuzi isipokuwa ligi na klabu bingwa Afrika .
Mimi nashangaa watu wanapiga kelele uongozi wa malinzi malinzi hafai hata kidogo alipokuwa yanga hakufanya lolote
ulikuwa mzigo na bora uende TFF huko Yanga hawataki watu kama hao leo hii angefagiliwa siku nyingi.