Mizengwe ya Valentines Day

Mizengwe ya Valentines Day

anza wewe kusimulia na hivi ulikua Mr naniliu, nahsi uliwapanga sana!
 
Unataka kujifarj kuptia ce we vp,wengine n full raha
 
Unataka kujifarj kuptia ce we vp,wengine n full raha

sio hivyo kamanda!ni kushare tu mambo!sio lazima iwe mimi kama ilivyozoeleka!wanaweza watu wakaja kuleta ma-stori yao hapa hata kesho jinsi walivyowazunguka watu wao!we subiri uone
 
This year valentine is cancelled. It has been proved mathematically that 14-02-12 =0. Endelea na ratiba yako tu
 
Sijawahi kuwa na feeling ya hii siku, may be mi ni mshamba wa kutupwa lakini inanisaidia maana ningetoka na nani sasa kati ya hawa nilionao.
 
Back
Top Bottom