Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Sisi wenye Maroli mtoa mada tutakurogaView attachment 3059159
Mafanikio ya treni ya abiria kwa sasa kufika Dodoma yanatia moyo.
Hata hivyo ufanisi wa reli kiuchumi ni usafirishaji wa mizigo.
Muda umefika sasa kwa wizara ya uchukuzi kuanza kuratibu namna ya kuyaondoa malori barabarani.
Juhudi za kufufua Central Railway ziendane sambamba na kufufua reli ya TAZARA.
Hongera SGR kwa mwanzo mzuri.
Aloooo!!!🤣🤣🤣🤣🤣 hata watu wenye daladala zao za mbezi,kimara,Moroko na Muhimbili waliambiwa wafanye daladala zao magari ya SHULE
Ila kwasasa mwendokasi unaambiwa waachie njia daladala zipige kazi
Kwani malori yanaondolewa Kwa amri au ushindani wa kibiashara?
Mafanikio ya treni ya abiria kwa sasa kufika Dodoma yanatia moyo.
Hata hivyo ufanisi wa reli kiuchumi ni usafirishaji wa mizigo.
Muda umefika sasa kwa wizara ya uchukuzi kuanza kuratibu namna ya kuyaondoa malori barabarani.
Juhudi za kufufua Central Railway ziendane sambamba na kufufua reli ya TAZARA.
Hongera SGR kwa mwanzo mzuri.
Mungu asaidie tuu wenye roho mbaya wasihujumu huu mradiSasa hivi mabasi yamevutwa shati.
Huko ndiko kuna faida na ndiko kwenye vita nyingine kubwa sana.
Yanasumbua sana njiani hayo
Mafanikio ya treni ya abiria kwa sasa kufika Dodoma yanatia moyo.
Hata hivyo ufanisi wa reli kiuchumi ni usafirishaji wa mizigo.
Muda umefika sasa kwa wizara ya uchukuzi kuanza kuratibu namna ya kuyaondoa malori barabarani.
Juhudi za kufufua Central Railway ziendane sambamba na kufufua reli ya TAZARA.
Hongera SGR kwa mwanzo mzuri.
Treni ya abiria haiwezi kulipa uwekezaji wa SGR.Uwepo wa Treni yenye Standard ya Kimataifa ni afya kwa taifa letu. Pongezi kwa serikali kuendeleza maono ya JPM. Ni kwa bahati mbaya sana maadui wa mradi huu ni wengi na ni kwa sababu ya ufinyu wa uelewa. Wanahofia kwamba mabasi na malori ya usafirishaji yatatoweka.
Ukweli ni kwamba, katika uwanja wa biashara vyote vitafanya kazi pamoja na vizuri tu. Tanzania ni kubwa na abiria ni wengi. Tunashuhudia hata nchi za wenzetu ambazo zina treni kwa wingi hususani zilizopo Ulaya zikifanikisha hili. Treni zipo, malori yapo, sambamba na mabasi.
Bahati mbaya hiyo SGR inaelelea maeneo ambayo malori sio mengi.Muda umefika sasa kwa wizara ya uchukuzi kuanza kuratibu namna ya kuyaondoa malori barabarani.
Huu mradi utakuwa umehujumiwa sana huko mwanzo ila tulipofikia ni ngumu maana viongozi wengi wana mabasi na malori, hawautaki kabisa ila Bimkubwa kashika sterling, siku zote mvunja nchi ni mwananchiMungu asaidie tuu wenye roho mbaya wasihujumu huu mradi
Mimi kama mdau wa sekta ya usafirishaji kwa kutumia malori bado siioni SGR kuyatoa molori barabarani na itachukua muda sana kwa namna miundo mbinu ilivyo
Mafanikio ya treni ya abiria kwa sasa kufika Dodoma yanatia moyo.
Hata hivyo ufanisi wa reli kiuchumi ni usafirishaji wa mizigo.
Muda umefika sasa kwa wizara ya uchukuzi kuanza kuratibu namna ya kuyaondoa malori barabarani.
Juhudi za kufufua Central Railway ziendane sambamba na kufufua reli ya TAZARA.
Hongera SGR kwa mwanzo mzuri.
Tumefurahia SGR lakini hawahawa vigogo kwenye siasa wanaojikomba kutafuta sifa kuwezesha mradi ndio wataikwamisha SGR. Biashara yao ya usafiri wa malori bila wananchi kua wakali hawataacha ife hivyo kuruhusu sera na sheria zitakazowapendelea wenye malori. Badala ya mizigo kuhamia kwenye reli kutokana na bei nafuu ya usafiri na usafirishaji na ubora wa huduma utashangaa kuona gharama kubwa na usumbufu wa kutengenezwa na wanasiasa kwa niaba yao na matajiri wa malori. Lazima ziwepo sheria na taratibu kuhakikisha mizigo kwa wingi inahamia kwenye reli na kupungua malori barabarani. Hivi sas ajali nyingi pia zinasababishwa na uwepo wa malori heavy duty yanayoenda masafa marefu.
Mafanikio ya treni ya abiria kwa sasa kufika Dodoma yanatia moyo.
Hata hivyo ufanisi wa reli kiuchumi ni usafirishaji wa mizigo.
Muda umefika sasa kwa wizara ya uchukuzi kuanza kuratibu namna ya kuyaondoa malori barabarani.
Juhudi za kufufua Central Railway ziendane sambamba na kufufua reli ya TAZARA.
Hongera SGR kwa mwanzo mzuri.
Mmesahau na wauza MAFUTAHuu mradi utakuwa umehujumiwa sana huko mwanzo ila tulipofikia ni ngumu maana viongozi wengi wana mabasi na malori, hawautaki kabisa ila Bimkubwa kashika sterling, siku zote mvunja nchi ni mwananchi