Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kabisa yanasababisha foleni na uharibifu mkubwa wa barabara
Mafanikio ya treni ya abiria kwa sasa kufika Dodoma yanatia moyo.
Hata hivyo ufanisi wa reli kiuchumi ni usafirishaji wa mizigo.
Muda umefika sasa kwa wizara ya uchukuzi kuanza kuratibu namna ya kuyaondoa malori barabarani.
Juhudi za kufufua Central Railway ziendane sambamba na kufufua reli ya TAZARA.
Hongera SGR kwa mwanzo mzuri.
Watakaochukua tenda ya kusafirisha mizigo ndio hao watakaofaidi na malori yatapungua sanaSASHA hawezi kazi ya kuondoa malori barabarani maana huko vita yake nikubwa sana. Na hii vita angeiweza JPM lakini huyu SASHA ni mlaini mno.
Hii kauli ya kusema malory yanaharibu barabara zetu huwa naipinga vikali sana, aidha ni watu hawajatembea wakaona barabara za wenzetu zimejengwa kwa viwango gani na wingi wa magari hayo je yanalingana na ya kwetu??.Kabisa yanasababisha foleni na uharibifu mkubwa wa barabara
Mabasi nani kayaondoa Barabarani?
Mafanikio ya treni ya abiria kwa sasa kufika Dodoma yanatia moyo.
Hata hivyo ufanisi wa reli kiuchumi ni usafirishaji wa mizigo.
Muda umefika sasa kwa wizara ya uchukuzi kuanza kuratibu namna ya kuyaondoa malori barabarani.
Juhudi za kufufua Central Railway ziendane sambamba na kufufua reli ya TAZARA.
Hongera SGR kwa mwanzo mzuri.
Huku rushwa ya watumishi wa ummaHii kauli ya kusema malory yanaharibu barabara zetu huwa naipinga vikali sana, aidha ni watu hawajatembea wakaona barabara za wenzetu zimejengwa kwa viwango gani na wingi wa magari hayo je yanalingana na ya kwetu??.
Ukweli ni kwamba barabara zetu zinajengwa chini ya viwango na wala si wingi wa magari, sisi hatuwezi kulingana idadi ya magari na nchi kama South Africa 🇿🇦 na tazama viwango vya barabara zao halafu linganisha na za kwetu.
Majirani zetu tu hapo Zambia🇿🇲, Burundi🇧🇮, Rwanda🇷🇼 na Kenya 🇰🇪 wanatuzidi viwango vya ubora wa barabara zao.
Hakuna nchi inajenga reli kwa ajili ya kusafirisha abiria, hii inatokea kwetu sisi wapenda chawa tusiojali gharama za ujenzi wa reli.Sasa hivi mabasi yamevutwa shati.
Huko ndiko kuna faida na ndiko kwenye vita nyingine kubwa sana.

Vita ipi? Wakati serikali imesema ruksa mtu binafsi kuleta treni yake waingie Ubia. Hao wamiliki wa basi wanunue treni na mwendokasi maana huko kuna faida zaidi.Sasa hivi mabasi yamevutwa shati.
Huko ndiko kuna faida na ndiko kwenye vita nyingine kubwa sana.
Hilo linawezekana ila biashara za wakubwa wengi zitaathiriwa kama wenye bandari kavu walivyathiriwa na ujio wa DP World. Serikali haijashidwa kufufua na kuwa na behewa za kubeba kontena na mizigo kwa njia ya reli ila tu kinachotokea ni hujuma ili biashara zingine ziendelee kukusanya hela.