Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Moja ya jambo la ajabu so TANZANIA bali takribani mataifa Yote ya Africa, somo la kiingeleza yaani English ni compulsory ilhali somo la kilimo yaani agriculture ni option.
Hivi sisi wa Afrika nani alieturoga.
Mizimu inaumia sana inap ona hivi vituko.
Hivi sisi wa Afrika nani alieturoga.
Mizimu inaumia sana inap ona hivi vituko.