Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Ukitaka kula vinono kazima uwe na pesaGood morning.
Aisee dume zinateseka humu duniani.Dume inanunulia mrembo nguo ya bei kubwa mpaka laki mbili na zaidi, chipsi, pochi, smartphone n.k.
Angalia hiyo dume inatupia suruali moja na shati kauka nikuvae mwaka mzima mpaka mbili imeridhika. Dume imekomaa uso kwa shida ya pesa.
Jamani nyie mubinti punguzeni basi hii adhabu kwa dume yenu.
Kwani lazima?Good morning.

Ni kweli mahi😭Mamaa, upo salama? Mana raia wa JF kama vile walianza kukusagia kunguni khs ile ishu ya 13 July yn mm nikabaki kulia tuu 😭 ety n kweli?
Afadhali umesaidia kuniandikia kero yangu. Halafu unaambiwa kabisa tuma na ya kutolea!Good morning.
Aisee dume zinateseka humu duniani.Dume inanunulia mrembo nguo ya bei kubwa mpaka laki mbili na zaidi, chipsi, pochi, smartphone n.k.
Angalia hiyo dume inatupia suruali moja na shati kauka nikuvae mwaka mzima mpaka mbili imeridhika. Dume imekomaa uso kwa shida ya pesa.
Jamani nyie mubinti punguzeni basi hii adhabu kwa dume yenu.
Pesa tafuta lakini mwanamke asiwe center ya hamasa yako ya kutafuta hela.Tafuteni hela mkuu....
Ukiwa na pesa hata kumfanyia shopping ya 1 milliin sio issue mazee....
Minaona mhawi noti tu, mengine yote ni bisingizio..🤣
Dah pole sana my love, nimechek pm naona umefunga 😔 ila dah nimekuonea huruma sana.Ni kweli mahi😭
Zile Saba ntawamisi😭
Hasa wewe
Mimi nawashangaa sana wanaume ambao wanawekeza kwa mwanamke wakati wanawake washaweka wazi kwa maneno na vitendo kwamba kwao mapenzi ni biashara ya ukahaba, wanachotofautina kuna makahaba wa direct na makahaba wa indirect. Mwanamke anataka hela yangu mimi nataka sehemu ya kumaliza nyege zangu tunafanya exchange siku zinaenda tukichokana kila mmoja anatafuta business partner mwingine.Wazee wa kununua hatuna mambo hayo, DC anatuonea wivu
Unique Flower akivutwa kupelekewa moto
Mkifanya sex sehemu isiyo salama inakuwaga tamu knomaUnique Flower akivutwa kupelekewa moto
Hata wewe ukinipa roho yako, nakutunzia Mama 😂😂Hapa kikija kijamaa kinacholelewa na mshangazi, shida zake mshangazi unamaliza kama holy holm na wengine basi utaona sapoti, "tumia fursa, fursa ikija usiache, raha ya mashangazi wanahudumia....."
Hadi mnashukuru Mungu kuwa ndio kawapa mishangazi.
Ila mwanamke yeye akihudumiwa mineno kama yote, nyau nyie.....
Sina hiyo experience na siitakiiMkifanya sex sehemu isiyo salama inakuwaga tamu knoma
Una changamoto za afya ya akili mtafute mmasihi akusaidie otherwise utajaolewa! Ndio maana una hoja za hivyo Sana humu jf.Ndo mana mm mpaka leo hii nna miaka 35 lkn sijawahi kuwa na mpenzi wala sijawahi kufanya mapenzi, nasubir wakati wa mungu anipe mke