Mizinga ipungue jamani, mnatesa wanaume

Mizinga ipungue jamani, mnatesa wanaume

Good morning.

Aisee dume zinateseka humu duniani.Dume inanunulia mrembo nguo ya bei kubwa mpaka laki mbili na zaidi, chipsi, pochi, smartphone n.k.

Angalia hiyo dume inatupia suruali moja na shati kauka nikuvae mwaka mzima mpaka mbili imeridhika. Dume imekomaa uso kwa shida ya pesa.

Jamani nyie mubinti punguzeni basi hii adhabu kwa dume yenu.
Ukitaka kula vinono kazima uwe na pesa
 
Good morning.

Aisee dume zinateseka humu duniani.Dume inanunulia mrembo nguo ya bei kubwa mpaka laki mbili na zaidi, chipsi, pochi, smartphone n.k.

Angalia hiyo dume inatupia suruali moja na shati kauka nikuvae mwaka mzima mpaka mbili imeridhika. Dume imekomaa uso kwa shida ya pesa.

Jamani nyie mubinti punguzeni basi hii adhabu kwa dume yenu.
Kwani lazima?
 
Afadhali umesaidia kuniandikia kero yangu. Halafu unaambiwa kabisa tuma na ya kutolea!
 
Ni kweli mahi😭
Zile Saba ntawamisi😭
Hasa wewe
Dah pole sana my love, nimechek pm naona umefunga 😔 ila dah nimekuonea huruma sana.

Mungu yupo na kama n wako atabaki kuwa wako, wakati wa mungu ndio wakati sahihi.
 
Wazee wa kununua hatuna mambo hayo, DC anatuonea wivu
Mimi nawashangaa sana wanaume ambao wanawekeza kwa mwanamke wakati wanawake washaweka wazi kwa maneno na vitendo kwamba kwao mapenzi ni biashara ya ukahaba, wanachotofautina kuna makahaba wa direct na makahaba wa indirect. Mwanamke anataka hela yangu mimi nataka sehemu ya kumaliza nyege zangu tunafanya exchange siku zinaenda tukichokana kila mmoja anatafuta business partner mwingine.
 
Tumia pesa kulingana na kipato chako.... Yaani wewe ukiwa huna uwezo wa kununua iphone usimuone aliye nayo kama anafanya ufujaji wa pesa.... . Hata anayehonga nguo ya 2000 pia ndio kipato chake.
 
Hapa kikija kijamaa kinacholelewa na mshangazi, shida zake mshangazi unamaliza kama holy holm na wengine basi utaona sapoti, "tumia fursa, fursa ikija usiache, raha ya mashangazi wanahudumia....."
Hadi mnashukuru Mungu kuwa ndio kawapa mishangazi.

Ila mwanamke yeye akihudumiwa mineno kama yote, nyau nyie.....
Hata wewe ukinipa roho yako, nakutunzia Mama 😂😂
 
Huyo ni mpuuzi. Sheria Iko hivi kuhonga kusizidi 1/3 ya kipato chako.
 
Ndo mana mm mpaka leo hii nna miaka 35 lkn sijawahi kuwa na mpenzi wala sijawahi kufanya mapenzi, nasubir wakati wa mungu anipe mke
Una changamoto za afya ya akili mtafute mmasihi akusaidie otherwise utajaolewa! Ndio maana una hoja za hivyo Sana humu jf.
 
Back
Top Bottom