Tuna plan ya kuja Dar kwenye Sabasaba , nitakuja nikutambulishe kama upo jijini. 😂Msalimie mshangazi bro, au yupo kanisani kwenye maombi 😂
Hapo hauwazi nauli, hauwazi gharama za hotel, wala kula hadi raha......Tuna plan ya kuja Dar kwenye Sabasaba , nitakuja nikutambulishe kama upo jijini. 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo mana mm mpaka leo hii nna miaka 35 lkn sijawahi kuwa na mpenzi wala sijawahi kufanya mapenzi, nasubir wakati wa mungu anipe mke
Haswaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumia pesa kulingana na kipato chako.... Yaani wewe ukiwa huna uwezo wa kununua iphone usimuone aliye nayo kama anafanya ufujaji wa pesa.... . Hata anayehonga nguo ya 2000 pia ndio kipato chake.
Good morning.
Aisee dume zinateseka humu duniani.Dume inanunulia mrembo nguo ya bei kubwa mpaka laki mbili na zaidi, chipsi, pochi, smartphone n.k.
Angalia hiyo dume inatupia suruali moja na shati kauka nikuvae mwaka mzima mpaka mbili imeridhika. Dume imekomaa uso kwa shida ya pesa.
Jamani nyie mubinti punguzeni basi hii adhabu kwa dume yenu.