Mizinga ipungue jamani, mnatesa wanaume

Mizinga ipungue jamani, mnatesa wanaume

Hawezi kuwa dume huyo ni boya pro max ..
Hivi huwa mnashikiwa bunduki kutoa hizo hela?
 
Tumia pesa kulingana na kipato chako.... Yaani wewe ukiwa huna uwezo wa kununua iphone usimuone aliye nayo kama anafanya ufujaji wa pesa.... . Hata anayehonga nguo ya 2000 pia ndio kipato chake.
Haswaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Good morning.

Aisee dume zinateseka humu duniani.Dume inanunulia mrembo nguo ya bei kubwa mpaka laki mbili na zaidi, chipsi, pochi, smartphone n.k.

Angalia hiyo dume inatupia suruali moja na shati kauka nikuvae mwaka mzima mpaka mbili imeridhika. Dume imekomaa uso kwa shida ya pesa.

Jamani nyie mubinti punguzeni basi hii adhabu kwa dume yenu.

Urembo unawazidi nguvu wasichana - Nikki wa Pili
 
Back
Top Bottom