Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Hahaaa. Kweli kabisa my dada bora irudi. Mana nashindwaga kujua wao jukumu lao lingine mbali na kugege*a litakuwa nini kama kutunza wanawake hawataki.Kuna umuhimu mnoooo wa jando kurudishwa.
Hahaaa. Mkiombwa nyie toweni si ndio wakati wake mana kila siku mnajiliza hata sikukuu pia. Lol
Na ukijiendekeza utaona wanawake wanafaidi mwisho wa siku unajikuta akina james deli.....Hahaaa. Kweli kabisa my dada bora irudi. Mana nashindwaga kujua wao jukumu lao lingine mbali na kugege*a litakuwa nini kama kutunza wanawake hawataki.
Na ukijiendekeza utaona wanawake wanafaidi mwisho wa siku unajikuta akina james deli.....
Ukiona una ambae ana mahitaji yaliyokuzidi umri, basi ujue wewe ndio umebugi. Chukua size yako mkuu, yaani tatizo linakuwa limekwisha. Kujitia ujuaji kubeba vilivyowazidi ndio kunakowamaliza, lasivyo endeleeni tu kulia lia maana msiba wa kujitakia huo.
Mhhh...!! Na nyie tukiwaendeza sana mwisho wa siku mvi hizi hapa huna chochote..!! Kwa mlivyo na mahitaji mengi nyie mnaonunua hadi kope na kucha..!! Tunajitahidi sana lkn pia mahitaji yenu ni kiboko...
Kabisa na ndio watakakokuwa wanaelekea wasipokuwa makini.Na ukijiendekeza utaona wanawake wanafaidi mwisho wa siku unajikuta akina james deli.....
Mwanaume kuuuutwa unalialia unategemea nini!! Ukitoa kulia lia na serikali unahamia kwa wanawake, ukitoka hapo utajikuta unaanza hata kulia lia kuhusu wewe mwenyewe.Kabisa na ndio watakakokuwa wanaelekea wasipokuwa makini.
Sasa laki usawa huu wa magu unaona kidogo
mkuu usijali sikukuu njemaSasa laki usawa huu wa magu unaona kidogo
Ukiona una ambae ana mahitaji yaliyokuzidi umri, basi ujue wewe ndio umebugi. Chukua size yako mkuu, yaani tatizo linakuwa limekwisha. Kujitia ujuaji kubeba vilivyowazidi ndio kunakowamaliza, lasivyo endeleeni tu kulia lia maana msiba wa kujitakia huo.
Karibu PM swtbird...Tafadhali naomba niCRDB bebe
Haka kamsemo kana vuma sana.Sikukuu za namna hii hazijawahi kuiacha mifuko salama..
Jana nikajipendekeza kumsalimia mmoja kilichofuata baada ya salam
[emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji13][emoji12][emoji14]
View attachment 528118
Hahaaa acha tu mkuu sikutaka hata kuendelea kuchat nae [emoji28][emoji23][emoji27][emoji57][emoji57][emoji57]Hahahahahahahahahha... Eti dira la Idd..!!