Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Hahaaa. Kweli kabisa my dada bora irudi. Mana nashindwaga kujua wao jukumu lao lingine mbali na kugege*a litakuwa nini kama kutunza wanawake hawataki.
Na ukijiendekeza utaona wanawake wanafaidi mwisho wa siku unajikuta akina james deli.....
 
Na ukijiendekeza utaona wanawake wanafaidi mwisho wa siku unajikuta akina james deli.....

Mhhh...!! Na nyie tukiwaendeza sana mwisho wa siku mvi hizi hapa huna chochote..!! Kwa mlivyo na mahitaji mengi nyie mnaonunua hadi kope na kucha..!! Tunajitahidi sana lkn pia mahitaji yenu ni kiboko...
 
Ukiona una ambae ana mahitaji yaliyokuzidi umri, basi ujue wewe ndio umebugi. Chukua size yako mkuu, yaani tatizo linakuwa limekwisha. Kujitia ujuaji kubeba vilivyowazidi ndio kunakowamaliza, lasivyo endeleeni tu kulia lia maana msiba wa kujitakia huo.
 
Kabisa na ndio watakakokuwa wanaelekea wasipokuwa makini.
Mwanaume kuuuutwa unalialia unategemea nini!! Ukitoa kulia lia na serikali unahamia kwa wanawake, ukitoka hapo utajikuta unaanza hata kulia lia kuhusu wewe mwenyewe.
Mwanaume anatafuta suluhisho kwa changamoto anazokutana nazo, sio kulia lia wakati wewe eti ndio kichwa!!!
 
Ukiona una ambae ana mahitaji yaliyokuzidi umri, basi ujue wewe ndio umebugi. Chukua size yako mkuu, yaani tatizo linakuwa limekwisha. Kujitia ujuaji kubeba vilivyowazidi ndio kunakowamaliza, lasivyo endeleeni tu kulia lia maana msiba wa kujitakia huo.

Espy !! Warren Buffet aliwahi ulizwa kwa nini unatumia gari hiyo hiyo toka miaka ya 80 hadi leo.?? Akajbu hawezi ku afford a new car, wakati ana more than $50b...!! Kila kitu kina kiasi na mipaka..! Alafu ideology ya kutimiziwa kila kitu ni ndoto, mahitaji hayajawahi kuisha kwa mtu yeyote hata billgate... Tunatimiza kutokana na resource iliyopo...!! Ukisema ufanye kazi kutimiza mahitaji ya binadam yote utakufa unatafuta hata uwe nani....!!

Na ukisema unachukuliwa na level yako ipi hiyo..?? Watanzania zaidi ya 3/4 ni makapuku chini ya (1/4) ndo wa kati na wa juu...!! Mbna hao hawana wanawake mia mia kila mtu...?? Ukweli ni kwamba mnawabana makapuku hawahawa unaosema sio level zako... Blv me or nat espy huo ndo ukweli..!!
 
Jana nikajipendekeza kumsalimia mmoja kilichofuata baada ya salam
[emoji116][emoji116][emoji24][emoji24][emoji13][emoji12][emoji14]

2017-06-21+11.51.58.png
 
Na usipoona call yoyote basi ujue yupo 'somewhere safe' anapendwa na wanaojua kupenda

Tumia pesa ikuzoee
Gawa mbunye, hainaga hasara kwani inaisha?
 
Back
Top Bottom