Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

Uspanic bhn bi dada., mbn topic iko huru kufanya discussion. samahani lkn kama nimekuudhi. tafadhali.!!
Kupanic unakujua au unakusikia!!
Sasa kama unajadili mada mbona umesema hauniwezi!! Kwani mie nipo kwenye mada?
 
Na ukisema unachukuliwa na level yako ipi hiyo..?? Watanzania zaidi ya 3/4 ni makapuku chini ya (1/4) ndo wa kati na wa juu...!! Mbna hao hawana wanawake mia mia kila mtu...?? Ukweli ni kwamba mnawabana makapuku hawahawa unaosema sio level zako... Blv me or nat espy huo ndo ukweli..!!

Hebu niambie wapi nimeongelea level zangu kwenye mada alafu tuanzie hapo, then utaiambia nani yuko kwenye mada or not!!!

The thing is, unapolalamika kupigwa mizinga iliyo nje ya uwezo wako ni kwamba umemchukua alie nje ya uwezo wako, chukua alie ndani ya uwezo wako,ambae atakupiga mizinga unayoafford itakayokufanya usilalamike. Unamfuata binti ambae unajua kabisa hapa nikipigwa kizinga kamwe hakiwezi kuwa elfu10, alafu akikupiga cha milioni unaanza kulalamika kweli!!!!
 
Mhhh...!! Na nyie tukiwaendeza sana mwisho wa siku mvi hizi hapa huna chochote..!! Kwa mlivyo na mahitaji mengi nyie mnaonunua hadi kope na kucha..!! Tunajitahidi sana lkn pia mahitaji yenu ni kiboko...

Tuliazia hapaaaaa!!! Sio wnwake wote wananunua kope na kucha, kuna wanwake hata hawazijui hizo kucha bandia na kope bandia. Sasa kama uliona amebadika kucha nakope it means umejipanga kulingana na hali husika, hivyo ukiombwa za kucha we toa tu maana hali tayari unaijua.

Sasa nashangaa, mie uliniingizaje kwenye mada bwana mdogo!!! Au ndio kupanic kama ulivyosema!!!
 
*Unaombwa pesa za skukuu unajitia ubabaifu ukija kuzimiwa simu siku ya skukuu usije kulalamika kuna watu wameharamia [emoji23][emoji23][emoji23]*
 
Hebu niambie wapi nimeongelea level zangu kwenye mada alafu tuanzie hapo, then utaiambia nani yuko kwenye mada or not!!!

The thing is, unapolalamika kupigwa mizinga iliyo nje ya uwezo wako ni kwamba umemchukua alie nje ya uwezo wako, chukua alie ndani ya uwezo wako,ambae atakupiga mizinga unayoafford itakayokufanya usilalamike. Unamfuata binti ambae unajua kabisa hapa nikipigwa kizinga kamwe hakiwezi kuwa elfu10, alafu akikupiga cha milioni unaanza kulalamika kweli!!!!

Kumbe ndo mko wakali ivi kutetea maslahi... haya bhn espy wengine hata hatukuwezi ngoja tukae pembeni...!!

Maneno nlobold hapo juu nlikua na maana ya sikuwezi kwa "negotiation / mjadala huu hapa kwa namna unavyo defend" Sijataja neno level wala kulizungumzia., na sijamaanisha level za aina nyingine kando ya hii maana...!! Refer yur (comment's history) nlivyoandika cjaedit chochote..!! Alafu baada ya hayo., nikuombe "tena " radhi km nlikwaza kwa kutonielewa......!!

Na by the way it is like a debate ku admit kwamba umenishinda kwa mabishano ni dhambi dada angu / member mwenzangu / Mkuu..?? Naamini mimi na ww hatuezi gombana wala kukorofishana, Tafadhali sana

Ukweli ni kwamba mnawabana makapuku hawahawa unaosema sio level zako..

Maneno nlobold hapo juu nlikua na maana ya sikuwezi kwa "negotiation / mjadala huu hapa kwa namna unavyo defend" Sijataja neno level wala kulizungumzia., na sijamaanisha level za aina nyingine kando ya hii maana...!! Refer yur (comment's history) nlivyoandika cjaedit chochote..!! Alafu baada ya hayo., nikuombe "tena " radhi km nlikwaza kwa kutonielewa......!!

Na by the way it is like a debate ku admit kwamba umenishinda kwa mabishano ni dhambi dada angu / member mwenzangu / Mkuu..?? Naamini mimi na ww hatuezi gombana wala kukorofishana, Tafadhali sana

Dah! kweli bro mi nashangaa mbona namba mpya nyingi zinaingia kwenye simu yangu,afadhali umenishtua kabla mshahara.
 
Kwa wanaume woteeee.
Ukipokea simu ya mwanamke jifanye husikii kisha kata simu na ikibidi zima na utie beteri ili kuepusha hatari ya mifuko hiyo.
 
Back
Top Bottom