Hauniwezi kwani tunawezana hapa!!!!
Lakini sio kwenye pochiKuna umuhimu mnoooo wa jando kurudishwa.
Inclusivehiyo laki natumaini aihusiki na nauli, mavazi, chakula, na vinywaji?
namtakia sikukuu njemaInclusive
Wacha we!!!Acha ujuaji hiyo oct 2016 ni ujumbe wa whatsap end to end enctyption. usipende kukurupuka
Kupanic unakujua au unakusikia!!
Uspanic bhn bi dada., mbn topic iko huru kufanya discussion. samahani lkn kama nimekuudhi. tafadhali.!!
Na ukisema unachukuliwa na level yako ipi hiyo..?? Watanzania zaidi ya 3/4 ni makapuku chini ya (1/4) ndo wa kati na wa juu...!! Mbna hao hawana wanawake mia mia kila mtu...?? Ukweli ni kwamba mnawabana makapuku hawahawa unaosema sio level zako... Blv me or nat espy huo ndo ukweli..!!
Mhhh...!! Na nyie tukiwaendeza sana mwisho wa siku mvi hizi hapa huna chochote..!! Kwa mlivyo na mahitaji mengi nyie mnaonunua hadi kope na kucha..!! Tunajitahidi sana lkn pia mahitaji yenu ni kiboko...
Hebu niambie wapi nimeongelea level zangu kwenye mada alafu tuanzie hapo, then utaiambia nani yuko kwenye mada or not!!!
The thing is, unapolalamika kupigwa mizinga iliyo nje ya uwezo wako ni kwamba umemchukua alie nje ya uwezo wako, chukua alie ndani ya uwezo wako,ambae atakupiga mizinga unayoafford itakayokufanya usilalamike. Unamfuata binti ambae unajua kabisa hapa nikipigwa kizinga kamwe hakiwezi kuwa elfu10, alafu akikupiga cha milioni unaanza kulalamika kweli!!!!
Kumbe ndo mko wakali ivi kutetea maslahi... haya bhn espy wengine hata hatukuwezi ngoja tukae pembeni...!!
Tehe tehe wewe hutaki nikununulia dera?[emoji13][emoji14][emoji12]Wacha we!!!
Teh teh teh teeeeeeh!!!
Ili iweje?Tehe tehe wewe hutaki nikununulia dera?[emoji13][emoji14][emoji12]
Ukweli ni kwamba mnawabana makapuku hawahawa unaosema sio level zako..
Maneno nlobold hapo juu nlikua na maana ya sikuwezi kwa "negotiation / mjadala huu hapa kwa namna unavyo defend" Sijataja neno level wala kulizungumzia., na sijamaanisha level za aina nyingine kando ya hii maana...!! Refer yur (comment's history) nlivyoandika cjaedit chochote..!! Alafu baada ya hayo., nikuombe "tena " radhi km nlikwaza kwa kutonielewa......!!
Na by the way it is like a debate ku admit kwamba umenishinda kwa mabishano ni dhambi dada angu / member mwenzangu / Mkuu..?? Naamini mimi na ww hatuezi gombana wala kukorofishana, Tafadhali sana
.............
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Samehe bure mama., nimekosa..!! Mikono juu ya radhi kwako...!! Ulimi hauna mfupa.