Ni wakati wa nchimbi kuwekwa ili amsafishie Njia mama hapo 2025?na yeye alipwe fadhila ya umakamu wa Raisi kama mgombea mwenza??Tuone sasa hatma ya maamuzi haya!! Je The State wameridhia maamuzi ya kumuondoa spika kisa maono yake???je Mama atatengenezewa kashfa ya rushwa kisa kulazimishwa na wenye dola kujiuzulu uraisi wake???ngoja tuone!!
Mh buñge safi 2025? Tunalipataje ndugu yangu unavyoona wewe. Yaan mama ataachia uchaguzi uwe huru na haki? Haitokaa itokee mpk wananchi waamue tena kindakindakisasa kupata Bunge safi si hadi 2025 boss
Kuna jambo la kutetea hapo mkuu, siyo mtu bali mhimili, so tujifunze kitu hapa.Leo unamtetea Ngugai? Ni maajabu
Karma is Real
Huwa ni S bila BV8 yenye kibao cha SB na bendera vimeshakua historia.
Mtaalam kwenu wapi?Mimi ni mgeni hapa nchini nasubir wenyeji waje tusaidia
Safi Sana.Hapa itajulikana Kama TZ inahitaji Katiba au laa.Ndiyo Mara ya kwanza speaker kujiuzulu Tanzania
Stay tuned!Rais kafia madarakani Tz firstly
Spika kujiuzulu
What next??
Mnajuaje,je huenda amepuliwa mgongoni achague moja kusuka au kunyoa,wasiojulikana Hawana shughuli ndogoSikujua kama Ndugai ni mwepesi kiasi hiki
Let's wait🏈Rais kafia madarakani Tz firstly
Spika kujiuzulu
What next??
Nalo lilikuwa kosa kikatiba, alitakiwa aunde serikali mpya.Kassim ajuzulu ili Samia aunde upya Baraza la Mawaziri,kama anatosha basi atarudishwa ili Samia amuapishe mwenyewe kwani huyu alimrithi tu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kama ilivyo mara ya kwanza Rais kufa, mara ya kwanza kuwa na rais mwanamke na itakavyokuwa mara ya kwanza rais kushika wadhifa huo kwa kipindi kimoja.... yote yanaendelea kutokea kwa mara ya kwanza.Ndiyo Mara ya kwanza speaker kujiuzulu Tanzania
1.V8 itabaki kuwa yakeV8 yenye kibao cha SB na bendera vimeshakua historia.
Nafasi inatangazwa,na watu wenye nia wataomba,wale watajaopitia vyama vyao,hivyo vyama vitateua wagombea na watapigiwa kura,atakayeshinda ndio spikaHabari WanaJF,
Wote tumeona taarifa ya Kujiuzulu kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naomba kujuzwa yafuatayo;
Je, Hatua gani hufuata kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya Nchi?
Je, Naibu Spika anachukua madaraka Moja kwa Moja?
Karibuni Wajuvi
======
KWA MUJIBU WA KATIBA ya Tanzania ([emoji1241])
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amejiuzulu nafasi hiyo kuanzia leo Januari 6, 2022 kwa hiari yake mwenyewe kwa kulinda maslahi ya Taifa, serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania (84) ibara ndogo ya 8 kinaeleza kwamba, pindi kiti cha spika itakapokuwa wazi, hakuna shughuli yoyote itakayotekelezwa katika Bunge (isipokuwa uchaguzi wa Spika) wakati wowote ambao kiti cha Spika kitakuwa wazi.
Hii inamaanisha kwamba, ili shunguli za bunge linalotarajiwa kuanza Februari 1, 2022 ziweze kuendelea, ni lazima kwanza limchague Spika.
Kwa mujibu wa katiba, (84)(1), spika atachaguliwa na wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni Wabunge au wenye sifa za kuwa Wabunge; atakuwa ndiye kiongozi wa Bunge na atawakilisha Bunge katika vyombo na vikao vingine vyote nje ya Bunge.
Na itakua mara ya kwanza Tanzania kuongozwa na chama ambacho si CCM.Kama ilivyo mara ya kwanza Rais kufa, mara ya kwanza kuwa na rais mwanamke na itakavyokuwa mara ya kwanza rais kushika wadhifa huo kwa kipindi kimoja.... yote yanaendelea kutokea kwa mara ya kwanza.
Alivyoitwa dhaifu .... aling'aka sana kipo wapiiNdiyo Mara ya kwanza speaker kujiuzulu Tanzania
PossibleNa itakua mara ya kwanza Tanzania kuongozwa na chama ambacho si CCM.