Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Majaliwa atapigwa chini sio?Kupata waziri mkuu mwanamke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majaliwa atapigwa chini sio?Kupata waziri mkuu mwanamke.
Bunge safi chini ya CCM haliwezi kuwepo na halitakuwepo maisha weka hili kichwani mwako.sasa kupata Bunge safi si hadi 2025 boss
Leo unamtetea Ngugai? Ni maajabuUkiona speaker wa Bunge ambae ni mhimili wa dola unaojitegemea na ambao unapaswa kuwa huru ametoa msimamo wake juu ya jambo fulani halafu ghafla akamuomba msamaha Rais kwa msimamo aliotoa na kubidi ajiuzulu huku wananchi wanakenua meno, jua hilo Taifa limefika mwisho na limekufa.
Zenji oyeeeeee!Uyu mother tusije kuamka kuchagua mawaziri wazenji i wote
CCM wameiharibu sana nchi, kulianda makundi wengine wakajiita wanamtandao. Ikaja mgawanyiko wa kikanda tukapata Sukuma Gang na sasa kuna wa Bara na wa Visiwani.Na ndyo ilikua mara ya kwanza Rais kufia madarakani .Na Bado vitu vingi vitabadilika Sana ndani ya hii miaka .Na katiba mpya inakalibia.
😂😂😂😂😂Naomba kuwasilisha...View attachment 2070890
Rais ni ngumu sana, namuona CDF akichukua kiti, kiti gani mimi sikijui
Ukiona speaker wa Bunge ambae ni mhimili wa dola unaojitegemea na ambao unapaswa kuwa huru ametoa msimamo wake juu ya jambo fulani halafu ghafla akamuomba msamaha Rais kwa msimamo aliotoa na kubidi ajiuzulu huku wananchi wanakenua meno, jua hilo Taifa limefika mwisho na limekufa.
Kweli Rais ana nguvu sana lakini kwa Samia huu ni wakati mgumu sana kwake kwani hatima ya URAIS wake ustategemea sana uamuzi wake wa jinsi atakavyolisuka Baraza lake jipya la mawaziri!Siyo mwepesi, nguvu ya Rais na Mkiti wa CCM ni kubwa mnoo, akiamua hakuna wa kubaki salama iwe CCM ama Upinzani! Ndugai Kwa kukaa kwake kwenye System analitambua hilo, na wanaCCM siku zote wapo upande wa Mkiti na Rais wao! Yule bwana aliyepo mahabusu na wenzake walichukulie hili kama funzo kwao, wanapoambiwa Rais ni taasisi waelewe, siyo kujiropokea tu na kumuita Rais majina ya ajabu ajabu
CCM wameiharibu sana nchi, kulianda makundi wengine wakajiita wanamtandao. Ikaja mgawanyiko wa kikanda tukapata Sukuma Gang na sasa kuna wa Bara na wa Visiwani.
Yeah! Lakini walau amejiwekea HESHIMA nampongeza kwa hilo.V8 yenye kibao cha SB na bendera vimeshakua historia.
Afisa wanyama pori hakutakiwa kuja mjini.Mgogo lofa sana
Aliomba msamaha kwa swala la kijinga na amejiuzulu kwa swala la kijinga
Kumuondoa Ndugai badala ya kuondoa mfumo haitaleta Bunge huru.Atakaekuja uzi utakuwa kama uleule wa Ndugai kwa sababu tatizo halikuwa Ndugai bali ni mfumo.Tatizo ni kuwa huyu aliyekuwa anaitwa spika alishiriki njama ovu na JPM kulifanya Bunge kuwa kiboyo na rubber stamp ya Serikali.Mbele ya raia wenye akili timamu kinachoitwa Bunge kinaonekana kuwa ni kusanyiko la mazuzu tu. Kifupi hatuna Bunge labda hadi November 2025 kama utafanyika uchaguzi huru na wa haki.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kumuondoa Ndugai badala ya kuondoa mfumo haitaleta Bunge huru.Atakaekuja uzi utakuwa kama uleule wa Ndugai kwa sababu tatizo halikuwa Ndugai bali ni mfumo.Bora taifa life lakini siyo Ndugai awe Spika bora tuweke hata mbwa
Mh Job anaweza kuomba nafasi hiyo tena. Unalionaje hilo?Karibuni Wajuvi