MJADALA: Baada ya Spika kujiuzulu ni hatua gani hufuata?

MJADALA: Baada ya Spika kujiuzulu ni hatua gani hufuata?

Ukiona speaker wa Bunge ambae ni mhimili wa dola unaojitegemea na ambao unapaswa kuwa huru ametoa msimamo wake juu ya jambo fulani halafu ghafla akamuomba msamaha Rais kwa msimamo aliotoa na kubidi ajiuzulu, jua hilo Taifa limefika mwisho na limekufa.
Ni fedheha kwa taifa letu, demokrasia hakuna ilipaswa ndugai ajiuzulu bilq hata kuomba samahani
 
Ukiona speaker wa Bunge ambae ni mhimili wa dola unaojitegemea na ambao unapaswa kuwa huru ametoa msimamo wake juu ya jambo fulani halafu ghafla akamuomba msamaha Rais kwa msimamo aliotoa na kubidi ajiuzulu huku wananchi wanakenua meno, jua hilo Taifa limefika mwisho na limekufa.
Bora taifa life lakini siyo Ndugai awe Spika bora tuweke hata mbwa
 
Kumfufua JIWE tu!!
Screenshot_20210810-172859.png
 
Ule mhimili wenye mzizi mrefu ukiondoka makamu anatakeover. Huu mhimili wa wananchi sijui labda na wenyewe makamu anatakeover. Nawaza tu mie sio mjuzi. Haya mambo ni kwa zamu. Lisu yeye yupo pale pale. Lema njoo tuwambie zamu ya nani inafuata.
 
Lema kawamaliza wote kuanzia Dikteta mpaka Sabaya
 
Sikujua kama Ndugai ni mwepesi kiasi hiki
Siyo mwepesi, nguvu ya Rais na Mkiti wa CCM ni kubwa mnoo, akiamua hakuna wa kubaki salama iwe CCM ama Upinzani! Ndugai Kwa kukaa kwake kwenye System analitambua hilo, na wanaCCM siku zote wapo upande wa Mkiti na Rais wao! Yule bwana aliyepo mahabusu na wenzake walichukulie hili kama funzo kwao, wanapoambiwa Rais ni taasisi waelewe, siyo kujiropokea tu na kumuita Rais majina ya ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom