Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Shida ni hapo kwa wananchi kuungana, vijana tumekalia uchawa na viongozi wameona hapo ndipo kwa kuongeza michuzi ili wazidi kutupoteza, na sisi tumezama kama hatuna vichwa vile... yaani sasa hivi uchawa umekuwa ajira rasmi mpaka hao tuliowapa ridhaa wameona ndio njia pekee ya kubakia madarakani! Kuna nini hapo?Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ndivyo vitalikomboa taifa hili la maziwa na asali, bila wananchi kuungana na kupaza sauti zetu hakuna malaika atashuka kuja kutukomboa