Mjadala: Forex na betting kipi kigumu?

Mjadala: Forex na betting kipi kigumu?

Generetaion Z

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2022
Posts
343
Reaction score
874
Wakuu,

Nawakaribisha kujadili hili. Kati ya forex trading na betting kipi kirahisi au kipi waweza sema unaweza jivunia.

Binafsi kutabiri outcome ktk forex ni rahisi kuliko kwa betting.

Risk ya betting ni 100pecnt ya mtaji wako or stake, ila forex unaweza limit kiasi kadhaa.

Betting ina outcome tatu yani win loose or draw. Huku forex ikiwa na outcome mbili buy or sell.

Betting na forex vyote vinabase ktk emotion mfano ukabet alafu ukatizama ile mechi au ukatrade alafu ukawa unatizama ile chart.

Betting huwezi control outcome yani mfano mechi inaendelea timu yako ishashinda ukasema usecure profit iyo hakuna ila forex ikawa imeenda upande wako unaweza secure profit mapema.

Je, kipi ni kigumu?
 
Forex ni rahisi sababu unakuwa na matokeo mawili tu, ni either Profit au Loss( Yaani Up or Down)

Sasa betting ni ngumu sababu ina matokeo matatu, Win, Loss & Draw.

Namaanisha kubet matokeo miwili ni rahisi zaidi kuliko kubet matokeo matatu

Asee achaneni na mikeka, uhondo kamili upo huku [emoji28][emoji28] Online trading with Deriv | Simple. Flexible. Reliable.
 
Betting Kama unamtaji kuanzai 200k na unafutalia mpira vzuri ,haubet Kila siku unabet kwa hisia sio kishabiki basi unaweza kumake pesa .....

Betting inahitaji kuwa na psychology zaidi kuliko uchambuzi ....

Betting unatakiwa usiwaze sana ,maana ile option unayoiona ngumu ndio inatokea ,...

Forex inahitaji usomaji mkubwa na mtaji ....

Vyote forex na betting kupoteza pesa ni dakika zero na kumake money ni dakika zero ...kikubwa hakikisha profit >loss then endelea ....

Mimi naweza poteza betting 10k ,badae nikabet Tena na 10k nikapoteza ,uksashangaa mkeka unaofuata na make 100k ....so Cha mhimu ni kitokataa tamaa na kuwa na nidhamu hakuna bishara ambayo mtu hapotezi pesa ila anahakikisha faida>hasara ....
 
Betting weka 10k bet game zako mbili au tatu za uhakika izae 30k au 40k sio unaweka jero au buku uexpect upate 100000
 
Forex na kubeti ni vitu viwili tofauti. Kwa hiyó huwezi kulinganisha.

Kwenye Forex options ni 2 Tu up/down na risk ni just smali % ya mtaji wako kitu ambacho kwenye mpira hamna.

Mpira unategemea na mood ya wachezaji Siku hiyo. Ukute Wana mgomo afu wewe unawapa win.

Mpira ulinganishe na michezo ya cassino siyo Forex
 
Wakuu,

Nawakaribisha kujadili hili. Kati ya forex trading na betting kipi kirahisi au kipi waweza sema unaweza jivunia.

Binafsi kutabiri outcome ktk forex ni rahisi kuliko kwa betting.

Risk ya betting ni 100pecnt ya mtaji wako or stake, ila forex unaweza limit kiasi kadhaa.

Betting ina outcome tatu yani win loose or draw. Huku forex ikiwa na outcome mbili buy or sell.

Betting na forex vyote vinabase ktk emotion mfano ukabet alafu ukatizama ile mechi au ukatrade alafu ukawa unatizama ile chart.

Betting huwezi control outcome yani mfano mechi inaendelea timu yako ishashinda ukasema usecure profit iyo hakuna ila forex ikawa imeenda upande wako unaweza secure profit mapema.

Je, kipi ni kigumu?
Kwanza kabisa jamaa inaonyesha ni mtu wa forex na haufahamu vizuri kuhusu betting, betting sio mchezo wa kubahatisha 100% kama watu wasionauzohefu na kubeti uwa wanahongea, betting ina kufanya analysis na ndo maana kuna app kama SOFASCORE na FLASHSCORE japo wengi hawajui matumizi ya izo app , uwa wanadhani zipo kwa ajili ya kuangalizia results tu ila napenda niwaambie izo apps ni zina statistics na kuna mbinu kibao za kufanya analysis na mikeka inatick bila tatizo , na watu wanaobeti pesa ndefu kwa odds chache uwa wanapiga pesa sana maana uwa ni huakika, kuna watu wanatia mpunga ata 1M kwa odds 1.22 ,kuhusu forex sina uzohefu nayo ila nahisi ni ngumu sana maana unatakiwa kufanya fundamental na technical analysis, ujue politics za dunia, macroeconomics etc .
 
Kwa punters aisee tangu hii wicked gender ianze kujifanya na wao sjui man city mara arsenal sjui Chelsea tunakandwa sana jamvini au mnaonaje
 
Back
Top Bottom