Mjadala: Hivi kuishi ndani ya uwezo wako ni Ubahili?

Club Mate

Member
Joined
Aug 1, 2025
Posts
29
Reaction score
125
Kuishi bila presha zama hizi ni mtihani mzito. Kila nikiangalia, naona wenzangu wanatamba na maisha ya mikopo, magari, majumba, bata na mademu... mpaka wakati mwingine naanza kujiona mjinga kwa kuchagua kuishi kulingana na uwezo wangu.

Ukiamua kujenga maisha yako taratibu, watu wanakuita bahili. Lakini hebu tujiulize huu ni ubahili kweli au ni kujiepusha na stress za kukimbizana na mafanikio ya muda mfupi?"
 
Wewe ni mwenye busara , hao wenzio ni wenye tamaa

Ishi hivyo hivyo kulingana na uwezo wako , uku ukipanga mikakati ya kujikwamua zaidi.
 
Kuishi bila presha zama hizi ni mtihani mzito. Kila nikiangalia, naona wenzangu wanatamba na maisha ya mikopo, magari, majumba, bata na mademu... mpaka wakati mwingine naanza kujiona mjinga kwa kuchagua kuishi kulingana na uwezo wangu.

Ukiamua kujenga maisha yako taratibu, watu wanakuita bahili. Lakini hebu tujiulize huu ni ubahili kweli au ni kujiepusha na stress za kukimbizana na mafanikio ya muda mfupi?"
USIISHI MAISHA YA MAIGIZO.
ISHI MAISHA YAKO

USIIGE MAISHA YA WATU
 
Kuishi bila presha zama hizi ni mtihani mzito. Kila nikiangalia, naona wenzangu wanatamba na maisha ya mikopo, magari, majumba, bata na mademu... mpaka wakati mwingine naanza kujiona mjinga kwa kuchagua kuishi kulingana na uwezo wangu.

Ukiamua kujenga maisha yako taratibu, watu wanakuita bahili. Lakini hebu tujiulize huu ni ubahili kweli au ni kujiepusha na stress za kukimbizana na mafanikio ya muda mfupi?"
Clube mate,Nenda mdogo mdogo,stress hazifai,hata kunyongwa huenda mdogo mdogo hufika aeandako:Bila kukata Tamaa.
 
Kuishi bila presha zama hizi ni mtihani mzito. Kila nikiangalia, naona wenzangu wanatamba na maisha ya mikopo, magari, majumba, bata na mademu... mpaka wakati mwingine naanza kujiona mjinga kwa kuchagua kuishi kulingana na uwezo wangu.

Ukiamua kujenga maisha yako taratibu, watu wanakuita bahili. Lakini hebu tujiulize huu ni ubahili kweli au ni kujiepusha na stress za kukimbizana na mafanikio ya muda mfupi?"
Mtu unaishi kwa kujibana kutokana na uwezo wako wengine wanakuona Mbahili ni kuwasikiliza tu na kusonga mbele.
 
Amani ya akili, nidhamu ya kifedha na maendeleo ya taratibu mara nyingi vina thamani kubwa kuliko sifa za muda mfupi. Ukifikia malengo yako bila msongo usio wa lazima, hiyo ni aina ya mafanikio ambayo watu wengi hutamani lakini hawaionyeshi hadharani.
 
Ili ukope inabidi ujipime kama unaweza kulipa. Huu ni uwezo wako wa kulipa. Anayekukopesha anaangalia kama unaweza kumlipa asije poteza hela zake. Hilo nalo ni uwezo.

Kukopa ni uwezo maana kuna wasiokopesheka.
 
Cha msingi uwe na tofauti kati yako na wao...
Kama wao wanatumia vyote hivyo na wana uwezo wa kurejesha marejesho na maisha yanaenda ni safi tuu
Kuliko kuona wanaishi ki anasa wakati wewe umejifungia kwny lindi la umaskini hautaki kujua wenzio wanafanyaje huo hautakua ujanja ni uzwazwa..
Ila kama na ww unajiendeleza mdogo mdogo na unaona unasonga mbele basi poa
 
Hii imekaa njema zaidi, si ajabu anadhani wenzake wanaishi kwa mikopo na madeni kumbe sivyo wanamke kuliko yeye.
 
Back
Top Bottom