Wewe ni mwenye busara , hao wenzio ni wenye tamaaKuishi bila presha zama hizi ni mtihani mzito. Kila nikiangalia, naona wenzangu wanatamba na maisha ya mikopo, magari, majumba, bata na mademu... mpaka wakati mwingine naanza kujiona mjinga kwa kuchagua kuishi kulingana na uwezo wangu.
Ukiamua kujenga maisha yako taratibu, watu wanakuita bahili. Lakini hebu tujiulize huu ni ubahili kweli au ni kujiepusha na stress za kukimbizana na mafanikio ya muda mfupi?"
USIISHI MAISHA YA MAIGIZO.Kuishi bila presha zama hizi ni mtihani mzito. Kila nikiangalia, naona wenzangu wanatamba na maisha ya mikopo, magari, majumba, bata na mademu... mpaka wakati mwingine naanza kujiona mjinga kwa kuchagua kuishi kulingana na uwezo wangu.
Ukiamua kujenga maisha yako taratibu, watu wanakuita bahili. Lakini hebu tujiulize huu ni ubahili kweli au ni kujiepusha na stress za kukimbizana na mafanikio ya muda mfupi?"
Clube mate,Nenda mdogo mdogo,stress hazifai,hata kunyongwa huenda mdogo mdogo hufika aeandako:Bila kukata Tamaa.Kuishi bila presha zama hizi ni mtihani mzito. Kila nikiangalia, naona wenzangu wanatamba na maisha ya mikopo, magari, majumba, bata na mademu... mpaka wakati mwingine naanza kujiona mjinga kwa kuchagua kuishi kulingana na uwezo wangu.
Ukiamua kujenga maisha yako taratibu, watu wanakuita bahili. Lakini hebu tujiulize huu ni ubahili kweli au ni kujiepusha na stress za kukimbizana na mafanikio ya muda mfupi?"
oClube mate,Nenda mdogo mdogo,stress hazifai,hata kunyongwa huenda mdogo mdogo hufika aeandako:Bila kukata Tamaa.
Kweli... mkuu¡Ishi kutokana na uwezo wako wala usiogope walimwengu hawakosi la kusema.
Mtu unaishi kwa kujibana kutokana na uwezo wako wengine wanakuona Mbahili ni kuwasikiliza tu na kusonga mbele.Kuishi bila presha zama hizi ni mtihani mzito. Kila nikiangalia, naona wenzangu wanatamba na maisha ya mikopo, magari, majumba, bata na mademu... mpaka wakati mwingine naanza kujiona mjinga kwa kuchagua kuishi kulingana na uwezo wangu.
Ukiamua kujenga maisha yako taratibu, watu wanakuita bahili. Lakini hebu tujiulize huu ni ubahili kweli au ni kujiepusha na stress za kukimbizana na mafanikio ya muda mfupi?"
Hii imekaa njema zaidi, si ajabu anadhani wenzake wanaishi kwa mikopo na madeni kumbe sivyo wanamke kuliko yeye.Cha msingi uwe na tofauti kati yako na wao...
Kama wao wanatumia vyote hivyo na wana uwezo wa kurejesha marejesho na maisha yanaenda ni safi tuu
Kuliko kuona wanaishi ki anasa wakati wewe umejifungia kwny lindi la umaskini hautaki kujua wenzio wanafanyaje huo hautakua ujanja ni uzwazwa..
Ila kama na ww unajiendeleza mdogo mdogo na unaona unasonga mbele basi poa